endapo kama mwalimu wetu wa somo la habari hakuchemka aliposema 'utajiri ni mojawapo ya vivutio vikuu kwa wasomaji' basi naomba lawama za kuonesha mlolongo wa picha hizi zinazoonesha nini baadhi ya masupa staa wanamliki nilizoletewa na mdau nipewe mimi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hii ndinga hata wazungu huku wanaikoma nitashuka nayo bongo soon niwatese kina michuzi na wale wadau wenye njaa kutoka ukerewe...kiwanja ni states tuu kwingine kote ni mifano tuu

    ReplyDelete
  2. Ok nimegunuda kuwa some of the things kwnenye blogs ni uongo tu ambao umeandikwa kufurahisha watu. kama the raneg rover stormer, ni concept car maana gari halitengenezwi ni gari la show sasa sijui imekuwaje mchezaji mpira kalipata, conept cars haziuzwi hata kwa billionea. pia bei ya magari mengine yametugwa kivipi najua haya yote sababu naishi marekani kwahiyo vitu hivi ni vya kawaida kuona , so msiamini kla kitu mnachosoma hapa

    ReplyDelete
  3. Anon hapo juu sababu unaishi marekani then inabidi tukuamini that is fun ....MICHUZI MBONA KUNA TOFAUTI SANA KATI YA WACHEZA SOKA NA BASKET KATIKA MATUMIZI ?

    ReplyDelete
  4. MICHUZI SASA UNATUWEKEA HAYA MAGARI YATATUSAIDIA NINI-WATU HATUNA HATA PESA YA KULA?? WEKA VITU VYA MAAANA BWANA.

    ReplyDelete
  5. Nyamaza we anonymous wa pili toka juu. Inaonyesha we upo marekani ila upeo wako wa kutambua mambo bado mdogo pamoja na nyenzo zote za habari.

    ReplyDelete
  6. Ay Michuzi,I think the person who sent you the pics aint right man,the Range Stormer is a concept car,it aint out ANYWHERE in the world,i've seen the car at an auto show man,the doors are Lambhorgini style and all.

    Ayt,with the other cars listed,the prices are all wrong,the Hummer H2 doesnt cost anywhere above $50,000,the Phantom costs $200,000-$350,000 depending on what options you want with it,the Lambhorgini costs around $600,000-$750,000,the Porsche Cayenne costs between $60,000-80,000,etc...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...