bei ya fedha za nje dhidi ya madafu jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Jana jioni saa 11 hivi (1700hrs GMT); hapa UK, Western Union walifanya:
    £1=Tsh.2,379/=

    ReplyDelete
  2. Bei ya pesa ni kama bei ya mafuta hivyo inatofautiana kutoka kwa wauzaji mbali mbali.

    Inawezekana bei ikawa bei moja kwa benki kuu za nchi kutokana na kiwango walicho kiweka lakini kwa wauzaji binafsi wanauza kwe bei tofauti ili waweze kupata faida ndio maana unakuta labda ukienda crdb utakuta ni tofauti na zile za western union, n.k

    ReplyDelete
  3. Aisee Michupi najua wewe mtoto wa kukata mitaa, hebu nipe simbi bureau de change inayonunua usd kwa faida kwani nahitaji kubadilisha usd zangu nikija bongo soon. Najua crdb ndo wenye lowest rates.

    ReplyDelete
  4. jamani hebu nifahamisheni manake ni siku nyingi hili linanichanganya!

    Hivi OMAN RIYAL ni strong zaidi ya STERLING POUND??? manake inaonyesha 1tsh = 3366 Oman riyal while 1tsh = 2500 sterling pounds????

    Asante

    ReplyDelete
  5. wewe anon wa Saturday, March 17, 2007 5:58:00 PM ukitaka kuchange into madafu kanyaga samora avenue kuanzia askari monument mpaka mnara wa saa. bureau za kati kati ktk hiyo njia ndio zona bei nzuri. zile za mwanzoni (jirani na askari mon.) na zile za mwishoni (jirani na mnara wa saa) zina bei duni kidogo. But kwa ujumla bureau zote za eneo hilo ndio zina bei poa kuliko maeneo mengine.

    Umenipata?

    ReplyDelete
  6. 1 Oman Riyal = 1.3380 British Paund,
    zaidi unaweza angalia kwenye currency
    converter

    ReplyDelete
  7. Anony wa sat.17.3.2007, 7.43pm

    Tsh.1 'sio' sawa na GBP 2500/=

    Bali kinyume chake ndio sahihi, be careful!!!!
    i.e.
    GBP1 = Tsh.2,500/=

    ReplyDelete
  8. anon wa saturday, march 17, 5:58:00 pm, lazima uliwahi kuwa M-SUASO. Umenikumbusha mbali sana mwanangu na huo msemo wa "simbi". Lakini nadhani uliopolitumia humu ulitakiwa umweleze michuzi kwamba ulimaanisha nini uliposems simbi, kwani si kila mtu anafahamu maana ya hilo neno, wengine wamezoea neno "desa"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...