niko na ben kisaka, mwandishi wa gazeti la majira aliekuwa na taifa staaz brazil, na aisha madinda usiku wa leo pale tcc club chang'ombe. anasikituka sana kuona watu wanataka kumpakazia dada wa watu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duh Pole sana Dada Aisha.kweli hata miye nimezipata zile pics kwa kweli zinatia huruma sana.Mzee issa michuzi big up sana wangu kwa kujaribu kurudisha hisia ambazo zilitekwa na huyo mchafuzi.sio fresh watanzania wanguuu hata kama kweli umepewa uroda jamnii na penzi limeisha ndio kuzalilishna hivyooo kweli? haifai waungwana au vipi haya basi tupevuke akili kidogo jamani!

    Dello

    ReplyDelete
  2. Uswahili tutaacha lini? Huyu dada mbona sio mtu wa tabia hizo labda km ameanza jana... Aisha wasikuchnaganye watu, fanya kazi na endelea na maisha yako achana na uswahili na waswahili.

    ReplyDelete
  3. Aisee kisaka brasil imekupenda umechana sana. nisalimie owen na mama owen

    ReplyDelete
  4. Baada ya kipugwa sana madongo kuhusu kile kishati chako naona sasa Michuzi kaamua kuanza kuvaa Customized-vitenge.

    Tenge alilovaa Michuzi lina jina lake.

    Michuzi taratibu mtu wetu, Unafanya mambo mengi sana one time.
    Unaweza ukawa Tommy Hilfiger wa Bongo lakini nenda aste-aste.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...