kuna wadau wameomba tena picha za soka la bichi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa kweli hiyo picha ni nzuri inaweza ikawa postcard. Well done, Keep it up braza. Yaani angalia jua hilo angalia wacheza mpira wow it is soooooooooo beautiful. Inaonyesha the natural beauty of Tanzania.

    ReplyDelete
  2. hii picha ukipeleka bbc.com au msnbc.com inaweza kuwa picaha bora hata isikuwa picha bora, ni lazima wataiweka kwenye hizo sites.

    ReplyDelete
  3. kwa kweli picha hii hata mimi naifagilia, ni bomba sana. mpigaji wa picha hiyo nadhani amefikiri na kuona wakati muafaka wa kupiga picha ni upi na vipi. hongera sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...