ahmad michuzi junia (kati) akipozi na mista ebbo na mdau wa muziki majuzi. junia, ambaye ni naibu mhariri wa jarida la muziki la kitangoma na mpiga picha wake mkuu, pia ni mratibu wa tua za maonesho wa kampuni ya prime time promotions ambayo inaongoza kwa kuandaa shoo na kualika wasanii wa nje kuanzia wenge musika, koffi olomide, tshala muana, chakachaka, lucky dube mpaka kina shaggy, ja rule, jay-z na wengine kibao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. acha kufagilia mdogo wako? au mtoto wako? Kitangoma haijawa updated sijui toka ianzishwe..ni aibu tupu ukibofya kingomangoma.com

    ReplyDelete
  2. Aisee michu sio mchezo mmefanana na bwana mdogo wako.

    ReplyDelete
  3. Suphai lalalashe aii...anyore nale..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...