Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Michuzi sasa unajishusha adhi matusi yote hayo ya nini? wewe mtu mzima huwezi kuonyesha kila kitu hapa.

    ReplyDelete
  2. Mr Misupu unataka wanablogu wachangie nini kutoka kwenye hii picha ya huu mtaa?? Sikuwahi kufikiria kuwa unaweza kuweka picha kama hii.

    ReplyDelete
  3. Issa upoo Zairwaa nini..hapa Kinshasa ukikata kushoto tu hapo ubalozi wa Kanada

    ReplyDelete
  4. Hapo ni Kinshasa DRC.

    Kwa ufupi vibao vyote vya mitaa ya Kinshasa viko ktk rangi za bendera ya Taifa (yaani bluu na njano) kama hicho hapo juu.

    ReplyDelete
  5. wachangiaji wenzangu.Zama hizi tumeingiwa sana na hizi tamaduni kwamba kila kitu ni matusi kuna maneno kama haya ni ya kisayansi na halisi kutamkwa sijui tunajidanganya nini kusema kama ni matusi .Sisi ndo wakwanza kujuhusisha na matendo yasiyo na maana.Vijana inabidi tuende na wakati vitu kama pumbu, mavuzi,matiti ni maneno halisi kama mengine tujitahitahidi tuyazoee.Hii fichaficha na kujifanya watu wa tamaduni ndo inatufanya tunakufa na ukimwi kila siku.
    wasalam
    mzee jongo

    ReplyDelete
  6. Safi sana. Watu wanatakiwa kujua issues za Dunia na siku kulalamika au kulaumu kwamba eti hukutegemea kukuta kitu kama hiki.

    Unatakiwa ujue kila kila katika Dunia hii licha ya kwamba ni vigumu! Michuzi anasaidia kuziba Ma-gepu kama haya

    ReplyDelete
  7. Najaribu kupata ikiwa nimepita kwenye mitaa hiyo na mwanangu wa kike sijui nitaficha uso wangu wapi jamani! tukubali tusikubali ni maneno ambayo huwezi kuyatamka kwa mwanao! neno kum.,mbo.,mkundu na pumbu si maneno yanayotamkika kirahisi katika tamaduni zetu ambazo wengine tumeapa kuzilinda!

    ReplyDelete
  8. kifupi tuu michuzi anaonyesha ni kiasigani mchanganyuo wa lugha unavyoweza kufanya mtu ufke sehemu au nchi fulani na kupigwa na putwaa kwani neno unaloona si vyema kutumia kwenye public kama hivyo vibao vinavyosema lakini kwa wenzetu ni neno la kawaida na halimaanishi jambo lolote au si tusi.
    hivyo tunatakiwa kufahamu hilo na hasa tukiwa tunafurahi globolisation tujue haishii kwenye biashara, technologia na vitu kama hivyo vingi vinaguswa na kama walimwengu tunapaswa tulione hilo na kijfunza kabiliana nalo kwani nina ukakika kuna maneno ya kiswahili ambayo tunayatumia kila siku kwa wenzetu yana maana nyingine kabisa na ukiyasema mbele za watu watakuona kituko. INabidi tumshukuru michuzi kwa kutuonyesha hili na kulitafakari kimakina kuliko kurukia kumlaumu na kuona labda anabenda kutumia hayo maneno.

    ReplyDelete
  9. kwa kweli mimi bwana michu nakusifu tena sana kwa ktutuonesha
    duniani kuna nini.Kuna watu wameng'ang'ania tu Bongo hata hawajui nje kuna nini halafu wanalaumu tu eti matusi wakati katika vitabu vya biology hutumika hayohayo kinachobadilika ni lugha tu.

    ReplyDelete
  10. Does anyone know what does Pumbu mean in Congo. I would love to know.

    ReplyDelete
  11. ma annon wengine wanalalamika ujinga tuu,vipi majina ya kijapani mbona watu wanaona sawa tuu,kwa mfano,kumamoto,kundubichi,pakauchi,kundumoto n.k.au wajapani tunaona sawa tuu.

    ReplyDelete
  12. Kaka Michuzi hao wanaojifanya watakatifu basi lugha za kibantu hawazijui. Hapo Bongo kwetu wenzetu Wapogoro wakitaka kusema nakupenda kilugha inakuwa "nikufira" je wanakuwa wanatukana? Acheni kujishaua hata sie tunazo hizo. Huo ndio Ubantu.

    ReplyDelete
  13. Huku na fasi ya Lubumbashi tunasema pumbu kuwamaamisha nyanya mbili za kumwili kwa mwanamume ila bandeko wa Kinshansa wao wasema pumbu kwa ile miti ya kutoka Poto (Ulaya).

    Jean-Bosco Mutombo.

    ReplyDelete
  14. acheni ujinga,lugha zipo nyingi bwana,kama kwenye lugha yako wewe unaona ni matusi kwawengine ni neno zuri la kutamka na lenye maana,kama baadhi ya majina ya japan sijui ya kichina siwezi kutofautisha hawa watu wawili,lakini kunasehemu za huko wanatumia kumamoto,sasa wasitumie maneno yao kwasababu eti ni matusi kwako.utajiju.BY MANYUNYU

    ReplyDelete
  15. Mlimani miaka ya kumalizia 1960's tulikuwa na mwanafunzi mmoja kutoka Kilimanjaro..jina lake ELIKINASHA MBORO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...