Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi sasa unajishusha adhi matusi yote hayo ya nini? wewe mtu mzima huwezi kuonyesha kila kitu hapa.
ReplyDeleteMr Misupu unataka wanablogu wachangie nini kutoka kwenye hii picha ya huu mtaa?? Sikuwahi kufikiria kuwa unaweza kuweka picha kama hii.
ReplyDeleteIssa upoo Zairwaa nini..hapa Kinshasa ukikata kushoto tu hapo ubalozi wa Kanada
ReplyDeleteHapo ni Kinshasa DRC.
ReplyDeleteKwa ufupi vibao vyote vya mitaa ya Kinshasa viko ktk rangi za bendera ya Taifa (yaani bluu na njano) kama hicho hapo juu.
wachangiaji wenzangu.Zama hizi tumeingiwa sana na hizi tamaduni kwamba kila kitu ni matusi kuna maneno kama haya ni ya kisayansi na halisi kutamkwa sijui tunajidanganya nini kusema kama ni matusi .Sisi ndo wakwanza kujuhusisha na matendo yasiyo na maana.Vijana inabidi tuende na wakati vitu kama pumbu, mavuzi,matiti ni maneno halisi kama mengine tujitahitahidi tuyazoee.Hii fichaficha na kujifanya watu wa tamaduni ndo inatufanya tunakufa na ukimwi kila siku.
ReplyDeletewasalam
mzee jongo
Safi sana. Watu wanatakiwa kujua issues za Dunia na siku kulalamika au kulaumu kwamba eti hukutegemea kukuta kitu kama hiki.
ReplyDeleteUnatakiwa ujue kila kila katika Dunia hii licha ya kwamba ni vigumu! Michuzi anasaidia kuziba Ma-gepu kama haya
Najaribu kupata ikiwa nimepita kwenye mitaa hiyo na mwanangu wa kike sijui nitaficha uso wangu wapi jamani! tukubali tusikubali ni maneno ambayo huwezi kuyatamka kwa mwanao! neno kum.,mbo.,mkundu na pumbu si maneno yanayotamkika kirahisi katika tamaduni zetu ambazo wengine tumeapa kuzilinda!
ReplyDeletekifupi tuu michuzi anaonyesha ni kiasigani mchanganyuo wa lugha unavyoweza kufanya mtu ufke sehemu au nchi fulani na kupigwa na putwaa kwani neno unaloona si vyema kutumia kwenye public kama hivyo vibao vinavyosema lakini kwa wenzetu ni neno la kawaida na halimaanishi jambo lolote au si tusi.
ReplyDeletehivyo tunatakiwa kufahamu hilo na hasa tukiwa tunafurahi globolisation tujue haishii kwenye biashara, technologia na vitu kama hivyo vingi vinaguswa na kama walimwengu tunapaswa tulione hilo na kijfunza kabiliana nalo kwani nina ukakika kuna maneno ya kiswahili ambayo tunayatumia kila siku kwa wenzetu yana maana nyingine kabisa na ukiyasema mbele za watu watakuona kituko. INabidi tumshukuru michuzi kwa kutuonyesha hili na kulitafakari kimakina kuliko kurukia kumlaumu na kuona labda anabenda kutumia hayo maneno.
kwa kweli mimi bwana michu nakusifu tena sana kwa ktutuonesha
ReplyDeleteduniani kuna nini.Kuna watu wameng'ang'ania tu Bongo hata hawajui nje kuna nini halafu wanalaumu tu eti matusi wakati katika vitabu vya biology hutumika hayohayo kinachobadilika ni lugha tu.
Does anyone know what does Pumbu mean in Congo. I would love to know.
ReplyDeletema annon wengine wanalalamika ujinga tuu,vipi majina ya kijapani mbona watu wanaona sawa tuu,kwa mfano,kumamoto,kundubichi,pakauchi,kundumoto n.k.au wajapani tunaona sawa tuu.
ReplyDeleteKaka Michuzi hao wanaojifanya watakatifu basi lugha za kibantu hawazijui. Hapo Bongo kwetu wenzetu Wapogoro wakitaka kusema nakupenda kilugha inakuwa "nikufira" je wanakuwa wanatukana? Acheni kujishaua hata sie tunazo hizo. Huo ndio Ubantu.
ReplyDeleteHuku na fasi ya Lubumbashi tunasema pumbu kuwamaamisha nyanya mbili za kumwili kwa mwanamume ila bandeko wa Kinshansa wao wasema pumbu kwa ile miti ya kutoka Poto (Ulaya).
ReplyDeleteJean-Bosco Mutombo.
acheni ujinga,lugha zipo nyingi bwana,kama kwenye lugha yako wewe unaona ni matusi kwawengine ni neno zuri la kutamka na lenye maana,kama baadhi ya majina ya japan sijui ya kichina siwezi kutofautisha hawa watu wawili,lakini kunasehemu za huko wanatumia kumamoto,sasa wasitumie maneno yao kwasababu eti ni matusi kwako.utajiju.BY MANYUNYU
ReplyDeleteMlimani miaka ya kumalizia 1960's tulikuwa na mwanafunzi mmoja kutoka Kilimanjaro..jina lake ELIKINASHA MBORO!
ReplyDelete