Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ha ha haaaaaaaa this is bab kubwa!!, inafurahisha kweli kweli, masoud nakuaminia kaka angu! u made my day, sina mabavu...., haha ha shower tube! siuoge na kopo?? kwa mtaji huo wengi tutaachika,
ReplyDeleteMiaka hii hakuna mwanamke alie mtumwa wa kufanya hivyo,ila ni fundisho kwa wamama msifanywe kuwa watumwa ukabebe maji,halafu umwekee kwenye bomba eeh! jamani kweli ni mateso na wala sio kupenda.
ReplyDeleteNimecheka mpaka mbavu zinauma,ila inasikitisha sana kama kuna watu bado wanatesa wake zao kwa namna hii!
ReplyDeleteKipanya hapo umeharibu!!!! You know what I mean, and my message is very clear.
ReplyDeleteDu huyu jamaa angekuwa 1st world saa hizi millionaire, cartoon kama hizi zinaonyesha highest talent, Poa mzee, maana hapo ka hit 2 in 1. kwanza shida ya maji, pili ni jinsi gani wanawake duniani wanavyopata tabu hali inapokuwa ngumu, maana hapo alifuata maji maili saba then kupeleka bafuni na kummwagilia mzee aoge, kisha akapike ugali, amtengee, then n.k... hajui kama mama kachoka na kazi za siku nzima..
ReplyDeleteHuyu ni cartoonist wa hali ya juu. Ningemshauri atafute nafasi ya uhifadhi wa kisiasa Ukerewe au USA na akiwa huko aendeleze fani yake ya kuwatwanga wanasiasa kwa katuni kwani naona sasa kaogopa wanasiasa na anaandika mambo mengine ya kijamii kama wale HAKIELIMU.
ReplyDeletePole sana Masoud waKipanya kwa maonyo kadhaa unayopewa....
Hamna cha utumwa wala nini ndoo maana ndoa zenu siku hizi hazidumu kuna wanawake wanataka shindana na waume zao wengi wameelewa vibaya hilo neno "women emancipation" wekeni tofauti ya utumwa na mapenzi. Ndoa ni mapatano, maelewano n.k. kuna mgao wa responsabilities na kama zina fanyika kama ipasavyo ndoa tamu jamani mbona mi mume wangu namlisha, namchana nywele namkata kucha ni mapenzi! hapo nikimaliza kumwagia maji nae ananimwagia tunasuguana migongo, namtunza kama yai. Akisafiri na make sure namwekea paketi ya ndomu kwenye bag lake, ndoa ni kwa maisha sasa wewe una dhani miaka 40 ya ndoa mume hataiba nje? basi kheri umwekee hizo ndomu.
ReplyDeleteMama malcom kazana ndoa isikushinde!! kuna msemo "kitu kisicho sema hakiwezi kukushinda"
Mi na baba Chanja hadi kifo mwaya Hahaha iyolelaaaa.
Kidume, hukumalizia, licha ya hayo yote, bwana bado hajaridhika
ReplyDeleteMsishangae wanawake wanavyotumikishwa, hadhi ya ya wanawake wa mjini na vijijini ni tofauti. Haya mambo yapo na hayana ubishi kwa wanawake wa vijijini. Hayo Tamwa na TGNP wanakula posho tu mijiji, wala hawana mpango na wanawake wa vijijini.
ReplyDeleteone question, why divorce rate increases as the status of women goes up?
Maskini mama Kipanya, kazi anayo, sasa je akianguka kwenye hiyo ngazi? ajali mbaya sana iko njiani! Kipanya welcome back!
ReplyDeleteDuh, Mama Chanja inabidi nikusifu, unamuwekea "mai hazibandi wako" pakiti ya "rambo", ili uzalendo ukimshinda huko aendako isiwe shida...!, Hongera kwa moyo huo, sasa hawa akina "mai hazibandi wangu" wetu hawatachukulia hiyo kama ni ruksa?, enewei if it works for you kip it ap, kaza uzi tuuu.
ReplyDeleteyeuuuuhwi!mbavu zangu zimepata crack. hivi huyu masoud ana website?will someone pse be kind and send the web add. to iriingi@yahoo.com?
ReplyDeleteKwako unayetafuta web adress ya Kipanya, hiyo hapo kwenye picha chini ya ngazi aliyosimamia mama Kipanya, cliki picha uione vizuri anuani,
ReplyDeleteAsante.