Home
Unlabelled
grini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi hawajafukua vichwa vya mapaka hapo uwanjani ? maana waswahili kwa ulozi huwawezi.
ReplyDeletekama kawaida yao watoto wa baharini yaani wale wanaoishi katika mto wanaogelea kila siku yanga watu wote sema yanga moja mbili tatu sema yanga nimekubali wote mmesema yanga inatisha wasaidizi wa njaa simba wanamigogoro hadi kwa madem zao hahahahahahahahaha
ReplyDeletePolisi akutwa uchi akimbaka mahabusu kituoni
ReplyDelete2007-03-28 08:48:06
Na Lulu George, PST Tanga
Koplo wa polisi, Onesphory Materu (40) aliyekuwa zamu kituoni, alifumwa uchi wa mnyama akimbaka mahabusu ambaye ni msichana mwenye umri wa miaka 15, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Bw. Issaya Mngulu, amesema.
Kamanda Mngulu, amesema kutokana na hali hiyo, askari huyo ametimuliwa kazi na sasa atashitakiwa katika mahakama ya uraiani kwa kosa la kubaka .
Msichana huyo (jina limehifadhiwa), aliyekuwa mfanyakazi wa ndani, aliwekwa mahabusu katika kituo hicho cha polisi kwa tuhuma za kumuibia mwajiri wake fedha taslim na vitu mbalimbali.
Kamanda Mngulu, alisema tukio hilo lilitokea Februari 25, mwaka huu na kwamba kufukuzwa kazi kwa askari huyo, kumefuatia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Kijeshi.
Alisema askari huyo anadaiwa kufanya kitendo hicho akiwa zamu katika chumba cha mahabusu cha Kituo Kikuu cha Polisi wilayani Lushoto, mkoani Tanga.
`Koplo huyo akiwa zamu, mchana wa siku hiyo ya Jumamosi, alimwendea binti huyo aliyekuwa mahabusu katika kituo hicho na kumtaka kimapenzi,` alisema Kamanda Mngulu.
Aliongeza kuwa, wakati akimweleza hayo, askari huyo alimuahidi msichana huyo kuwa atamuachia huru iwapo atamkubalia ombi hilo.
`Lakini binti naye alikuwa mjanja, kwani alimwambia ahadi hiyo aiweke kwa maandishi ili kuthibitisha maneno yake ya kumwachia huru na ndipo Koplo Materu alipomwandikia na kugonga muhuri wa polisi, kisha akasaini sahihi yake,` alisema Kamanda Mngulu.
Alisema baada ya binti yule kupewa karatasi hiyo, aliiweka mfukoni na kuvua nguo zake na Koplo huyo aliendelea kufanya naye mapenzi.
Alisema wakati akiendelea kufanya hivyo, watuhumiwa wengine wanaume waliokuwa chumba kingine cha mahabusu, waliomba msaada wa kupelekewa ndoo ya kujisaidia, lakini askari huyo alikuwa ?bize? akifanya mapenzi na mtuhumiwa huyo.
Alisema baada ya Koplo huyo kumaliza kufanya mapenzi na binti huyo, na kabla hajavaa nguo zake, askari wengine waliokuwa wakiingia kituoni kumpokea zamu, walimkuta mwenzao akiwa uchi wa mnyama.
Kamanda Mngulu, alisema Koplo huyo aligundulika kwamba kuwa kwake uchi kunatokana na kufanya kitendo hicho baada ya binti huyo kuonyesha
Alisema binti huyo anayefanya kazi ya ndani, mkazi wa Masiwani jijini Tanga, alifikishwa kituoni hapo kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake Sh. 70,000 na vitu vingine mbalimbali, vyote vikiwa na thamani ya Sh. 170,000.
Ilidaiwa kuwa, baada ya msichana huyo kuiba fedha na vitu hivyo, alikimbilia wilayani Lushoto lakini alikamatwa baadaye na kufikishwa katika kituo hicho cha polisi.
SOURCE: Nipashe
Michuzi, tunashukuru kwa updates. Ila mimi naomba wadau nisaidieni Website ya TFF.
ReplyDeletehakuna ubishi,wanaoshinda ni mashabiki wa Yanga kwa kuwa wao wapo juu.
ReplyDeleteSIKILIZA CLOUDS FM LIVE
ReplyDeletehiyo clouds inasikika kimyeyusho,ina katika katika,yaani inaudhi kishenzi.
ReplyDeleteHivyo vita siku zote mgongo wazi wanashinda kwani wao wapo juu.
ReplyDeleteAnon wa 8:00pm inaonekana unatumia mtandao wenye kasi ndogo. Ili usikilize redio live unahitaji mtandao wenye kasi ya juu. Mie nasikiliza na natumia kasi ya juu, huwezi amini kama niko Dar vile na hapa nipo Amerika ya kaskazini. Taafadhali kabla haujalaum kuhusu usikivu jiulize kama una mahitaji yote yatakayokuwezesha kusikiliza moja kwa moja matangazo hayo. Mwenzio naendelea kufaidi vitu hapa.
ReplyDeleteanonymous wa 9:38,mi niko state, east coast natumia high speed, i dont know whats problem!
ReplyDeleteJana nilipata ilikuwa clear kabisa leo inakatika katika kila baada ya dakika tano ....tafadhali tunaomba wahusika warekebishe ili tuendelee kufaidi uondo.
ReplyDeleteBongo ni bongo tu. Hivi mpaka leo kuna ushabiki wa kutupiana vinyesi na mikojo. Anyway...solution ni ndogo sana na kama ikiwekzekana ingetekelezwa sasa. Nusu ya jukwaa upande wa kulia wakae washabiki wa YANGA na nusu ya upande wa kushoto wakae SIMBA. Hapo hakutakuwa na utpiaji wa vinyesi wala mikojo kwani kila mmoja atakua anamuona mwenzake. Katikati wakae MGAMBO kuangalia usalama wa wahuni njaa!
ReplyDelete