Home
Unlabelled
bondeni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vichaka pale kwa macheni vimeondolewa??!! Havionekani ati
ReplyDeletemama unaepita hapo, chonde chonde kama unavi thahabu vyako nakuonea huruma, hiyo shingo na hayo masikio, manake sehemu hiyo ni hatari kweli kweli...hata watako tokea hujui unashangaa, hao bwana! vibaka jamani...
ReplyDeleteMi napenda ile chai yake ya asubuhi japo vile vilinzi vinavyolinda kwenye corridor vinakera naona wavitafutie pahala pengine.
ReplyDeleteEeh bwana Michuzi tuwekee picha ya Pale Deluxe Magomeni mapipa opposite na Shibam Hotel. Nai ile Guest House pale Mkadini Street tuwekee picha basi
ReplyDeleteSir Issa Michuzi hicho kibanda hapo kando kulia wanauza nini.
ReplyDeleteebwana Isaa mi naikubali sana hii hotel. Ni kati ya hotel ambazo zinafanya kazi zake vizuri sana. wanajali wateja wao na wanatoa huduma nzuri kshenz! yani wamenifurahisha sana walivyoweka vitasa vya kadi. mambo ya kutumia funguo mahotelini yamepitwa na wakati jamani. ningependa hoteli zingine wajaribu kupiga atua kama hawa jamani.inapendeza kuona tanzania kunafanyika mambo kama haya jamani
ReplyDeletehapo kwa macheni enzi zake ilikuwa si mchezo mtu wangu! naona siku hizi si kama zamani kabsaa. Dada zetu wametufurahisha sana enzi hizo. Wapi hussein macheni siku hizi jamani? mbona biashara inakufa siku hizi?
ReplyDeletemagomeni sasa hivi sio mchezo aisee. kuna vitu vya maana si kidogo. kuna hotel za maana. naona baada ya miaka michache magomeni kutakuja kuwa kama posta. Vitu kama hivi vitakuja kuzagaa magomeni nzima
ReplyDelete