nani kasema magomeni mapipa kumelala? hii ndo new bondeni hoteli mkabara na kwa macheni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Vichaka pale kwa macheni vimeondolewa??!! Havionekani ati

    ReplyDelete
  2. mama unaepita hapo, chonde chonde kama unavi thahabu vyako nakuonea huruma, hiyo shingo na hayo masikio, manake sehemu hiyo ni hatari kweli kweli...hata watako tokea hujui unashangaa, hao bwana! vibaka jamani...

    ReplyDelete
  3. Mi napenda ile chai yake ya asubuhi japo vile vilinzi vinavyolinda kwenye corridor vinakera naona wavitafutie pahala pengine.

    ReplyDelete
  4. Eeh bwana Michuzi tuwekee picha ya Pale Deluxe Magomeni mapipa opposite na Shibam Hotel. Nai ile Guest House pale Mkadini Street tuwekee picha basi

    ReplyDelete
  5. Sir Issa Michuzi hicho kibanda hapo kando kulia wanauza nini.

    ReplyDelete
  6. ebwana Isaa mi naikubali sana hii hotel. Ni kati ya hotel ambazo zinafanya kazi zake vizuri sana. wanajali wateja wao na wanatoa huduma nzuri kshenz! yani wamenifurahisha sana walivyoweka vitasa vya kadi. mambo ya kutumia funguo mahotelini yamepitwa na wakati jamani. ningependa hoteli zingine wajaribu kupiga atua kama hawa jamani.inapendeza kuona tanzania kunafanyika mambo kama haya jamani

    ReplyDelete
  7. hapo kwa macheni enzi zake ilikuwa si mchezo mtu wangu! naona siku hizi si kama zamani kabsaa. Dada zetu wametufurahisha sana enzi hizo. Wapi hussein macheni siku hizi jamani? mbona biashara inakufa siku hizi?

    ReplyDelete
  8. magomeni sasa hivi sio mchezo aisee. kuna vitu vya maana si kidogo. kuna hotel za maana. naona baada ya miaka michache magomeni kutakuja kuwa kama posta. Vitu kama hivi vitakuja kuzagaa magomeni nzima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...