mchungaji kabila la dinka akiwa kazini. kuna mdau katukaribisha kwenye globu (ama blogu) yake ya picha yenye mambo kama hayo. bofya link yake hapo chini umtembelee. kwa kweli globu/blogu hiyo inachangamsha sana na kuelimisha nami nampa hongera kwa ubunifu wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michu, ungeficha kidogo hiyo sehemu hapo. Ungeweka iwe blurry, kama vibox vibox vile, maana nimekuta mwanangu anaiangalia hii picha ananiuliza mbona huyu kuku yake iko nje wakati unaniambia mimi nifiche kuku yangu...Michu tafadhal bana watoto wanatuchallenge huku!

    ReplyDelete
  2. Du yaani 'downstairs' hivi hivi?

    ReplyDelete
  3. Kati ya blogs michuzi anazolink kila mara, hii it worths a look....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...