dumila leo jioni. hao ni deiwaka wa kihindi ambao wanafanya za ujenzi hapa
bofya hapa Global Voices Online - http://www।globalvoicesonline।org usome mada ya viongozi wetu ilivyowashwa katika kumbi zingine...
Most read Swahili blog on earth
bofya hapa Global Voices Online - http://www।globalvoicesonline।org usome mada ya viongozi wetu ilivyowashwa katika kumbi zingine...
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani nimeingia kwenye search engine kuangalia Dumila ni mji gani? Kumbe ni hiki kiswahili cha Michuzi. Yaani Michuzi unatuzengua sana wengine.
ReplyDeleteNimesema huu mji mbona siujui ....keep it up man...kwasababu hii majina hata hatukuijuia tukiwa bongo ni heri tunaisoma hapa na kuelewa.
Wahindi kumbe ndio day workers wa huko?
ReplyDeleteMh ...wahindi wako kila mahali.
Yaani vibarua wanapanda Marcopolo kwenda na kurudi kibaruani, huku Bongo vibarua hawana hata protective gear's, michuzi endelea kutupa vitu
ReplyDeletejamaa hawa wananyanyaswa sana
ReplyDeletewadosi kwa kuringa hapa bongo,
ReplyDeletekumbe huko hawalipi kabisa
jamaa hawa hapa bongo wanaringa sana,bora nao wahenyeke tu
ReplyDeleteHuku kwetu upanga hadi kuna school bus wameliandika Eti Indian school,
hapo hakuna mmbongo hata mmoja,yaani hii nchi kama yao vile