dumila leo jioni. hao ni deiwaka wa kihindi ambao wanafanya za ujenzi hapa

bofya hapa Global Voices Online - http://www।globalvoicesonline।org usome mada ya viongozi wetu ilivyowashwa katika kumbi zingine...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Yaani nimeingia kwenye search engine kuangalia Dumila ni mji gani? Kumbe ni hiki kiswahili cha Michuzi. Yaani Michuzi unatuzengua sana wengine.
    Nimesema huu mji mbona siujui ....keep it up man...kwasababu hii majina hata hatukuijuia tukiwa bongo ni heri tunaisoma hapa na kuelewa.

    ReplyDelete
  2. Wahindi kumbe ndio day workers wa huko?
    Mh ...wahindi wako kila mahali.

    ReplyDelete
  3. Yaani vibarua wanapanda Marcopolo kwenda na kurudi kibaruani, huku Bongo vibarua hawana hata protective gear's, michuzi endelea kutupa vitu

    ReplyDelete
  4. jamaa hawa wananyanyaswa sana

    ReplyDelete
  5. wadosi kwa kuringa hapa bongo,
    kumbe huko hawalipi kabisa

    ReplyDelete
  6. jamaa hawa hapa bongo wanaringa sana,bora nao wahenyeke tu
    Huku kwetu upanga hadi kuna school bus wameliandika Eti Indian school,

    hapo hakuna mmbongo hata mmoja,yaani hii nchi kama yao vile

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...