msanii q-chief akichilll na mh. temba (kulia) na meneja wa tmk wanaume kaka fela (shoto) juzi wakati wa uzinduzi wa mchakato wa kusaka wanamuziki bora bongo wa mwaka jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa kweli vijana kazi wanaiweza lakini tatizo pombe pombe,loh. Nafikiri kama wangekuwa na mawazo ya kujiendeleza kieleimu na kimaisha ingekuwa nzuri mno mno mnoooooooooo tena sana tu maana wangetoa nyimbo nzuri zaidi na zilizopimwapia huku wakiwa na maisha yanayoeleweka. Lakini kwa mtaji huo wa KUPOMBEKA kwa sana,mmh inatia wasi wasi jamani. Haya mie nawatakia mafanikio mema ila msisahau kujiendeleza ndugu zangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...