Home
Unlabelled
presha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anko michuzi kwa yeyote anayejua thamani ya picha atakubali kuwa kweli hii picha uliopiga sio mchezo... waswahili wanasema imeenda shule..... nimekukubali anko!
ReplyDeleteKwa kweli nakubaliana na anony wa hapo juu kuwa hii picha imetulia.... na picha kama hizi ni classic.... mpigaji lazima uwe makini na umesomea na unaijua kazi yako... Michuzi hapa nimekukubali now nimeamini kweli wewe sio mpiga picha wa kubaatisha...
ReplyDeleteHii picha nzuri sana. You should open your photo galley and sell your good things.
ReplyDeleteSamahani jamani. Naombeni mnielimishe uzuri wa hii picha.
ReplyDeletepicha imeenda shule wapi hamjazoea kuona black and white na imeungua tu pembeni, kuna utaalamu gani sasa hapo?
ReplyDeleteKama picha hiyo ni kwenda school basi imeishia darasa la nne la zamani. Haina uzuri wowote! Ushabiki tu umewajaa.
ReplyDeleteWee annon hapo juu na mwenzako,acheni wivu picha imetulia hiyo,nafikiri kwanza hamjui picha nzuri inakuwaje kwani picha mmezikuta mlipokuja Dar kwa mjomba,huko kijijini kwenu kuna mpiga picha mmoja tu na picha zinachukua mwezi kusafishwa ndo maana hamjui picha nzuri na mbaya.mtakufa na vijiba vya roho,Wivu,wivu,wivu.
ReplyDeletewe anon Sunday, March 18, 2007 10:56:00 AM, halafu mi siko dar
ReplyDeletekumbe bado uko dar? duh ndo maana unaona hiyo picha nzuri
ndo maisha lakini sio kila mtu anapata visa
wote ambao amuoni huziri wa picha hii kwa kweli nafikiri amjui picha nzuri ni zipi? kama anon wa Saturday, March 17, 2007 7:30:00 PM alivyosema kuwa mtu yoyote anayejua thamani ya picha atakubaliana naye kuwa imetulia... picha hiyo aijaungua ndugu zangu ni upigaji wa picha huo wa kitaalamu ambayo inaitaji lenzi ya makini na ukaaji wa kupiga picha wa aina yake! nyie kweli mshawai kuangalia picha tamu?
ReplyDeleteWee annoy hapo juu kuwa nje ya nchi sio kujua kila kitu. Na usijifanye unajua sana kwa vile ulipata visa. Wenzako tumezaliwa huku.
ReplyDeleteNa inaonyesha hujui usuri wa picha ndio maana unasema ovyo tu.
Mimi pia nimesema hiyo ni picha nzuri na kama wewe ni mpiga picha unataelewa. Si kwa vile imechukuliwa black and white too. Kuna mambo mengi ya kuangalia kwenye picha kabla hatujaisifia. Na yote tumeyaona kwa kiyo weew na upungufu wako wa hii field kaa kimya
swali la msingi halijajibiwa,,uzuri wa hiyo picha ni nini?? na siyo *hamjui picha nzuri zinakuwaje...na blah blah ...*
ReplyDelete