fc bongo ikirilaksi wakati wa haftaimu ilipocheza na kameruun huko helsinki. timu hii inastahili sifa kwa kupeperusha juu bendera ya bongo na pia kuwa wazalendo wakereketwa ughaibuni. asante abdalla ezza kwa picha na habari hizi murua. f mtimkubwa simuoni. hana namba nini, au yeye ni sachmoo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...