
Darda King will be sharing the stage with Kleptomaniax from Kenya
Saturday, March 10. @ Vokk Party Hall - 9525 Wilcrest Dr., Houston, TX 77099
For more info. call 832-277-3874
Come chill with Darda King for happy hour before the concert at Safari Club
9651 Bissonet, Houston TX 77036. from 6pm.
Live Bongo radio and chat click here http://www.mfalme.com/bongofans.html
Mfalme Team
http://www.mfalme.com/
Come chill with Darda King for happy hour before the concert at Safari Club
9651 Bissonet, Houston TX 77036. from 6pm.
Live Bongo radio and chat click here http://www.mfalme.com/bongofans.html
Mfalme Team
http://www.mfalme.com/
U r so sweeeeet!!!! Mwaaaaaa!!!
ReplyDeleteHivi mi nashindwa kuelewa huyu jamaa anaimaba nini! maana miziki yake yooote haina hata maana! wala haichezeki wala haisikiki! labda jina tu ndo zuri lakini hamna kipaji!
ReplyDeletesq Dallas Texas.
Kleptomaniax and Darda King safi sana.
ReplyDeleterusha wabongo majuu, rusha wakenya majuu, rusha rusha mazee,
ReplyDeleteHiyo Bongo radio gani mnayoizungumzia kwa sababu nimeingia kwenye ile Bongo radio (www.bongoradio.com)tunayoijua ya chicago-usa ilikuwa inapiga miziki tofauti na inayopigwa kwenye hiyo site ya mfalme na hata sound quality ya Bongo radio ya chicago ni ya juu sana ukilinganisha na hiyo ya mfalme yenye mikwaruzo kibao. Hebu tufahamisheni tujue maana tunashindwa kuelewa.
ReplyDeleteduh!huyu kaka yuko sexy,kaka michuzi mpe hongera zake,amina hapa nipo dar,wabongo naona mnatuwakilisha ma mtoni.
ReplyDeleteNikiendelea Michuzi na hoja hapa, imebidi nitoe yanayonikera kuhusiana na hawa wasanii wa Bongoflava. Najua kwamba kimuziki wanafanya vitu visivyo vya kawaida lakini kuna vitu kadhaa vinaniudhi sana nikiwaona.
ReplyDeleteKwanza kabisa ni hiyo kuonyesha majani ya bangi katika mavazi, wristbands, nembo za makundi na kadhalika. Najua watu wameongelea sana mambo haya lakini mimi naona hiyo organisation yenye kusimamia masuala ya muziki ianze kupiga marufuku utumiaji wa majani hayo, pia maneno yanayo advertise majani hayo katika nyimbo. Kwa sababu kama wanaweza kupiga marufuku uvaaji wa mini sketi, kusimamisha kuonekana kwa video basi inabidi wapige marufuku masuala haya pia [inaanza bangi then wataingia kwenye ku-advertise unga].
Hali ya bongo sasa hivi inazidi kuwa mbaya kutoka picha za uchi, video za ngono zinazotengenezwa Bongo na kadhalika. Sasa hivi nchi za Ughaibuni zinapata taabu sana na in fact wanashindwa kuwatoa vijana wadogo katika hilo janga.
Mimi nawajua vijana wengi tu Bongo ambao naamini wana potential kielimu lakini wamejiharibia kutokana na utumiaji wa bangi, unga, pombe na kadhalika.
This is a very sad story and these artists are entertaining this instead of elevating these young kids to go to school, do something for themselves.
Employment is another problem but I believe if these kids educate themselves and do something that is of benefit to them, watafika mbali. Instead of hanging around the corner smoking weed!
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteTrue!
ReplyDeleteWebsite nzuri sana King, nyimbo nzuri sana, inabidi utuletee kaseti zako nyumbani. si unajua mcheza kwao hutunzwa?.
ReplyDeleteRadio nimeisikiliza ni kali sana. naona anony said pale juu haifagilii hii radio. mimi naipenda ile bongoradio yao. lakini ya Mfalme ni bomba kwa sababu ni Bongo music tu. ile ya kwao ina ma hip hop sana. hata website yao ina wasanii wa marekani kibao. ni bongoradio au american radio mzee said.
Ahsante.