dj eddy wa hongera baa sinza akiwa kazini na vyombo vyake vya kisasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukiingia Bar hii miziki unaona kama kelele vile, ukinywa beer 3 tu basi nyimbo zote unaanza kuziona nzuri, zikifika 5 hadi mabaa medi nao wana kuwa wazuri tu

    ReplyDelete
  2. Baa hii sikuhizi imekuwa kituo cha machangudoa. Tena cha kushangaza wawindaji hao ni pamoja na wanachio cha Ustawi wa Jamii. Kwa kweli ni aibu.

    ReplyDelete
  3. Baa hii siipendi ina wasichana wahuni sana. Yaani wateja wake ni pamoja na changudoa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...