Home
Unlabelled
jk
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nauliza hivi huyu JK anayajua kwa kina matatizo ya nchi hii kwa sasa na namna ya kuyafumbua?
ReplyDeleteKulikoni Jamani yaani hata ndani ya hoteli iliyoko nchini mwako Unakaribishwa na Mzungu.
ReplyDeleteHakuna mswahili anayeweza kukaribisha hao wageni?
Hivi hata hiyo fani ya mapokezi tunahitaji mgeni toka nje kuifanya?
Hivi hiyo kazi ya kupokea maraisi ni very complicated siku hizi kiasi kuwa wazungu wanatakiwa ndo waifanye? Au maraisi wenyewe wanasikia Raha zaidi wakipokewa na wazungu kuliko waswahili?
Kama jibu ni ndiyo basi naungana kukubaliana na Oginga Odinga aliyeandika Kitabu cha NOT YET UHURU na mimi nasama NOT YET UHURU.
Ila jamani tuna "a very simple president Tanzania". Nilipata wazo la kimaendeleo katika jamii ya Tanzania, na nikataka kulidiscuss in a very short-cut and direct way possible, na president. So, nikaingia google leo asubuhi nikaweka "kikwete kiganja 00255", nikapata namba ya simu ya mkononi ya rais wa Tanzania. Nimepiga, kapokea, na ni yeye maana sauti yake niliisikia BBC na alipotembelea nchi za EU, nimeongea naye na tumediscuss vizuri.
ReplyDeletejibu kwa anon Friday, March 30, 2007 4:29:00 PM
ReplyDeleteSafi wazungu kukaribisha wageni they know what customer service is. angekuwa mbongo ndo mkaribishaji angekuwa kanuna sura kaikunja huku anasoma gazeti la sani
Anony.4:29pm
ReplyDeleteHotel kilimanjaro iliuzwa kwa waarabu wa kuwaiti muulize kigoda, alimuzibia Mengi Mzawa,Raisi wetu ameshasema anaitaji watalaam kutoka nje sasa wewe unashangaa nini hapo? Kama raisi kasema watanzania ni mbumbumbu hiyo ndo manake, Chuo chetu cha hoteli forodhani kilibadilishwa na kuwa Mahakama sasa hao wataalamu wa hoteli watoke wapi? kama weusi basi ni WAKENYA!!!
kama unamacho mazuri huyo mweupe si mzungu ni mwaraabu huyo!
HOTELI YA KIHISTORIA YA TANZANIA, AMBAYO THAMANI YAKE SI PESA TU BALI PIA THAMANI-HISIA (SENTIMENTAL VALUE) TUNAIUZA KWA WAGENI TUNATEGEMEA NINI?
ReplyDeleteWAZUNGU WAMESEMA KILA KITU LAZIMA KIUZWE KUPITIA "COMPETITIVE BIDDING", NA SISI TUNASEMA : HEWALA BWANA!. UKWELI NI KWAMBA HATUTAKAA TUSHINDE KUNUNUA CHOCHOTE CHAKWETU,IWE HOTELI AU NBC, KWASABABU WAZUNGU/WAARABU WANA PESA ZAIDI, WANA EXPRIENCE ZAIDI(UBEPARI MAREANI ZAIDI YA MIAKA 200 SASA, UINGEREZA NDIO ZAIDI YA 300), SASA TENDA ZA KIUSHINDANI TUTASHINDAJE?
NDIYO MAANA MENGI ALITAKIWA KUUZIWA ILI KUHIFADHI HISTORIA YETU, BILA KUJALI KUWA NDIO ALIYETOA PESA NYINGI ZAIDI AU HAPANA. HIZO PESA ZILIZOPATIKAKA KUUZA KLIMANJARO ZIKO WAPI SASA??
HATUJACHELEWA SANA, KUANZIA SASA ARDHI NA ,MALI NYINGINE ZISIUZWE KWA WAGENI, WAKITAKA WAKODISHE KWA WENYEJI! TUSIPOKUWA MAKINI TUTAKUWA WATUMWA NDANI YA NCHI ZETU
PIMPING BOY YOU LOOK GOOOD KIKWETE WAPINZANI WATAONGEA SAANAAA DO YOUR JOB THEY VOTED FOR YOU SO THEY NEED TO SHUT UP AND LET YOU DO YOUR THINGS!
ReplyDelete