unapoingia kwa mwalimu unakuta kaburi lake mkono wa kuume huku mandhari mwanana ya kijani ikikusindikiza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi, kaburi la Mwalimu ni hicho kibanda kilicho kushoto ama ni sehemu gani? Umenichanganya uliposema kaburi liko mkono wa kuume, wakati picha inaonyesha kibanda kiko mkono wa kushoto.

    ReplyDelete
  2. wee! anon 11:21
    kaburi sio lazima uone misalaba imepangana na miti utomvu iko pembeni. ni hicho kinyumba ndani yake ndio kuna kaburi. tehe tehe

    ReplyDelete
  3. Wewe unakiona hicho kibanda kiko kushoto. Picha inaonyesha unapoingia kwenye gate hicho kibanda kitakuwa upande wako wa kulia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...