makamu wa rais wa botswana ian khama akiwasili dar kwa mkutano wa sadc akimuwakilisha rais wake festus mogae ambaye ana hivi majuzi alifanyiwa upasuaji sauzi. ian ambaye ni mwanajeshi ni mtoto wa muasisi na rais wa kwanza wa nchi hiyo, sir seretse khama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sir seretse alikuwa na mke wa kizungu nini? maana yake jamaa kama point five hivi.

    ReplyDelete
  2. Duh hii ndonga ni noma ..manake akikuta kichwa inabidi uwahi hospitali

    ReplyDelete
  3. Mshkaji point 5 huyo mama yake ni mzungu Lady Ruth Williams ambaye amededi 2002.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...