kiinglishi chetu chazidi kumea...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kweli bongo sanaa haiishi,chaja unatengezaje?

    ReplyDelete
  2. We unauliza charger unatengenezaje? Pasi au Redio unatengenezaje, .....ukiona hivo ujue yawezekana ndio maana inatengenezwa

    ReplyDelete
  3. kwa mtaji huo kwa nini wasianzishe viwanda vya kutengeneza simu!

    ReplyDelete
  4. Kufungua na kuflash kwa kompyuta ! Hiyo ni nini kwa kimombo ?
    JK

    ReplyDelete
  5. ukumbuke huyo bwana hata shule ya degree (science or engineering) hajakwenda , je tungempeleka si leo tungekuwa na brand yetu ya computer tukaachana na hizi Dell, Toshiba nk. Wako wengi sana hawa !!

    ReplyDelete
  6. Hehehehehehe! Anony wa kwanza kabisa usiache nicheke hadi nife!! Hujui kama Charger inatengenezwa?? Ile ni adapter tu!!

    ReplyDelete
  7. Hehehehehehe! Anony wa kwanza kabisa usiache nicheke hadi nife!! Hujui kama Charger inatengenezwa?? Ile ni adapter tu!!

    ReplyDelete
  8. Kufungua na kuflash kwa kompyuta ! Hiyo ni nini kwa kimombo ?
    JK

    Anony, hii maana yake ni unlock and flushing of the handset. Simu nyingi zinakuwa locked na zinaweza kutumika kwenye network moja ambayo hiyo simu imekuwa assigned. Ukiweka card ya network nyingine haifanyi kazi. Kwa hiyo wakifungua (unlock), basi simu inaweza kutumika kwa card yo yote.

    Flushing, ni kutoa na ku-reset handset attributes kurudi zile ambazo (most of the time) ni factory default values. Ni kama kuifanya mpya halafu unaanza kuweka na wewe vibwanga vyako.

    ReplyDelete
  9. Pamoja na lugha, hizo alama za kugawa hapo zina maana gani, ama ana maana ya alama za "koloni"?

    ReplyDelete
  10. hiyo ndio TZ bwana!unajua kwanini masela wanaiita BONGO?by manyunyu

    ReplyDelete
  11. Anko michuzi mie nafikiri jamaa alikuwa anaadika kwa lunga ya kiswahili na sio kizungu..... in other words he is so right! kwasababu tunajua bongo luga yetu inamapungufu makubwa au kama sio mapungufu basi watu awajui maneno mengine ya kishwahili kama computer, charger, speaker and flush! kwahiyo kuandikwa kwao kwa jinsi inavyotamkwa kwa kiswahili mie naona ni sawa tu....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...