sinza kijiweni leo. barabara ya shekilango rodi sasa kapeti tupu unaambiwa. hamna vumbi wala nini...kasi mpya oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. misupu naona unafagilia ulaji huo!mbona barabara yenyewe haina mifereji?mvua zikinyesha hapo ni noma,sasa sijui inakuwa kasi gani,misupu wewe ukiwa kama mwandishi unapaswa uelewe hilo sasa unapokuja huku ughaibuni huoni mifano,acha mambo hayo.

    ReplyDelete
  2. Upuuzi mtupu!!! barabara imechukua muda merfu sana kujengwa, technolojia ya ujengaji ni mwaka 47. barabara za pembeni hazipitiki - kama pale mori - barabara imefungwa kwa uchafu wa wajenzi. Barabara siyo lami tu!! wasafishe junctions zote tupite kama zamani!!! She.z type!!

    ReplyDelete
  3. duuuu,kijiweni,wapi robert mazwazwa?wapi mohammed miyongo?vp mazwazwa umeacha mchezo wako wa kugonganisha mademu?nimewamiss washkaji,popote pale mlipo.hi kwasana,
    vipi mwalimu upo wapi?
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  4. Bara bara haina curb. Sijaona drainage system kwenye picha. Hiyo bara bara naipa miaka 5, itakuwa imeharibika.

    ReplyDelete
  5. Sir Issa michuzi hivi hiyo mvua iliyonyesha majuzi maji yalivyojaa kilakona siuliyapiga picha mzee ? na kipanya akaifagilia ile picha. Sir God akimwaga hiyo mvua siku kazalika tutavua samaki hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...