Home
Unlabelled
kilwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi tujulishe,hasa kwa picha,maendeleo ya barabara ya Dar-Kibiti-Lindi-Mingoyo(Mnazi Mmmoja).Lami yatoka Dar imeshafika Kimazichana? Eneo la Ndundu-Somanga nani analijenga au bado hajakabidhiwa mkandarasi? Kampuni ya kichina(CICCO) wanaojenga Nangurukulu-Mbwemkuru wamefika wapi na lami yao? Vipi kuhusu M.A Kharafi wanaojenga toka Mbwemkuru-Lindi-Mingoyo wamefikia wapi na hatua gani? Nilisikia wamenza kuweka lami toka Mingoyo kuelekea Lindi.Wako ktk hatua gani sasa hivi? Tafadhali Michuzi naomba sana majibu;Tanzania ni kubwa mno sio Dar tu!
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteThis was supposed to be done 28 years ago and not today!
ReplyDeleteebwana ndio kwasababu hiyo njia imetutesa sana tu nadhani kunahaja pia ya kuikarabati hata ile barabara ndogo ya mtoni kwa azizi ali 2 dampo zamani.
ReplyDeleteAfadhali labda itabadilisha foleni za mtoni mtongani na mbagala, watu wa mbagala sasa nafikiri wanaona kweli project inakuja maana hapo mwanzoni ilishaanza kuonekana kama ni propaganda za uchaguzi
ReplyDeleteAsante MIM kwa kutuletea update za barabara yetu maana kila siku nilikuwa nawauliza washikaji kama barabara imeanza kujengwa ili niwe na uhakika wa kuja na Benzi badala ya 4WD.
ReplyDeleteinanishangaza kuona baadhi yetu tunamwagiza michuzi vitu kama mwakilishi wetu.
ReplyDeleteyeye anajitolea tu, kwani kuna
kati yetu anayemlipa chochote?
michuzi yuko based dar, imagine mtu anataka picha au habari za mingoyo - lindi
mtindo hapa kinachopatikana ndiyo watoto wale,, vinginevyo inakuwa too much.
Haaya weee! wamekata miti iliyochukua miaka mingi kuota wao wametumia dakika tu kwisha kazi
ReplyDeleteAnon wa 3:10:00pm nakuunga mkono kwa sana, watu wanaona MIM kama mtu wa kutumwa kufanya mambo wanayotaka. Unless awe ameshinda katika mashindano ambayo michuzi huahidi picha yeyote ndo unaweza kuomba akupatie sehem fulani, hata hivyo huwezi kuuliza akupigie picha ya sehemu zaidi ya moja. Nakumbuka nililisema hili last month maana kuna fala aliona msimbazi, akaanza na yeye kuagiza eti michuzi akapige sijui mtaa gani kule ndani ndani gerezani. Huu si ujinga. Watu mnaletewa vitu bure, bado mnataka kumpa MIM programm ka ni mwajiriwa wenu. Nilimshauri huyo wa last month kama anataka sehem specific ampe MIM hela na email address , atapigiwa na kutumiwa, BTW sis hatuna interest ya Mingoyo wala Nangurukuru hata Kimanzichana
ReplyDeleteNaomba kutoa hoja
Ujinga wetu watu wa kusini ndo maana hii barabara mpaka leo haijaisha maana tungetumia kila njia kuionyesha CCM kuwa bila miundombinu basi msihangaike kuomba kura zetu.
ReplyDeleteHivi watanzania lini tutaanza kufikiria kuhusu 10 or 15 years ahead na siyo leo tu ? Hiyo barabara kwanini isijengwe pana zaidi ili kukidhi mahitaji ya baadaye pia? Au tunataka 20 yrs. down the load iwe haitoshi na tuingie tena gharama ?
ReplyDeleteMfano tu sasa hivi hizo "double roads "zetu zinasaidiaje,au ni lost of time and resources tu ? Jibu la hilo unaweza kupata kwa kuangalia pale Alhasan Mwinyi au Morogoro road zinavyokuwa adha kwa wananchi.
Tumejizoesha sana kwamba barabara kama hizo hazina maana kwa nchi yetu,na huu ndiyo ujinga ambao unatutesa mpaka sasa hivi.Tunabakia kwenda nje kwa wenzetu na kushangaa tu !! Huo ni upuuzi,kwani sisi tunashindwa nini?
Inabidi tubadilishe namna ya kufikiria,the way we do does not get us nowhere,it has proven failure !!
Michuzi, "barabara ya kilwa rodi", umenikumbusha, naomba "red pen nyekundu"
ReplyDelete