sir juma nature (shoto) akiteta jambo na jose chameleon toka uganda walipokutana na waandishi leo kuzungumzia uzinduzi wa albamu ya 'ndege tunduni' ya wanaume halisi wa tmk ambapo jose atatumbuiza kama msindikizaji ukumbi wa dayamondi jumamosi hiii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyo nyuma hapo mwenye rasta mbona kama Temba?

    ReplyDelete
  2. Joto bongo lakini shurti kwa scarf. Bongo bwana...lol

    ReplyDelete
  3. we anon wa pili kwa taarifa yako for 3 days bongo kuna mvua sana,na kuna baridi ya kutosha tu tofauti na hali ya joto ya kila siku.mbona mnawadharau hawa vijana?kama huna hakika na hali ya hewa ya siku hiyo si ungeuliza.msksiiiiiiii

    ReplyDelete
  4. sio scarf tuu hapo angalia miwani ya huyo mhdeshimiwa chamillionaire...mambo ya gogoz za kufanyia kazi factory... bongo bwana!

    ReplyDelete
  5. mhh jamani hayo mavazi na juma nature mhhh rangiii sijui bendela ya wapi atii tehetehehe

    ReplyDelete
  6. BONGO BWANA! sasa kama mvua ilinyesha ndio avae scarf kwani mwavuli huo? Hata DSM kuwe na baridi gani haijafikia ya kuvaa scarf. Wenzenu huku baridi kweli kweli ndio maana wanavaa scarf.Kijibaridi cha kubabaisha wala watu hawavai scarf. Mimi naona anajitafutia vijipele vya shingo! NA HUYO MWENYE MIWANI hizo ni za kufanyia kazi viwandani zinaitwa SAFETY GLASSES, watu wanavaa just in case kitu kimekurukia machoni kisikudhuru.BONGO masupastaa wapo nyuma sana kimavazi, ni kweli majuu kuna masupa staa wako very simple kwenye masuala ya vivazi. Lakini wanavaa simple, nice and clean. Wa kwetu wanachemsha kama vile scarfs kwenye jua kali, safety glasses wanafanya miwani ya jua na vitu kama hivyo.
    DAH! YAANI SCARF KAVAA YEYE MIMI HUKU SHINGO INANIWASHA!

    ReplyDelete
  7. Sir Juma nature kamechisha kofia na skafu... tehe...tehe..tehe halafu wewe unayezungumzia mvua kubwa bongo kumbuka umezungumzia mvua... mvua na baridi vitu viwili tofauti.www.cnn.com/WEATHER/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...