Home
Unlabelled
kinyonga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo nyuma hapo mwenye rasta mbona kama Temba?
ReplyDeleteJoto bongo lakini shurti kwa scarf. Bongo bwana...lol
ReplyDeletewe anon wa pili kwa taarifa yako for 3 days bongo kuna mvua sana,na kuna baridi ya kutosha tu tofauti na hali ya joto ya kila siku.mbona mnawadharau hawa vijana?kama huna hakika na hali ya hewa ya siku hiyo si ungeuliza.msksiiiiiiii
ReplyDeletesio scarf tuu hapo angalia miwani ya huyo mhdeshimiwa chamillionaire...mambo ya gogoz za kufanyia kazi factory... bongo bwana!
ReplyDeletemhh jamani hayo mavazi na juma nature mhhh rangiii sijui bendela ya wapi atii tehetehehe
ReplyDeleteBONGO BWANA! sasa kama mvua ilinyesha ndio avae scarf kwani mwavuli huo? Hata DSM kuwe na baridi gani haijafikia ya kuvaa scarf. Wenzenu huku baridi kweli kweli ndio maana wanavaa scarf.Kijibaridi cha kubabaisha wala watu hawavai scarf. Mimi naona anajitafutia vijipele vya shingo! NA HUYO MWENYE MIWANI hizo ni za kufanyia kazi viwandani zinaitwa SAFETY GLASSES, watu wanavaa just in case kitu kimekurukia machoni kisikudhuru.BONGO masupastaa wapo nyuma sana kimavazi, ni kweli majuu kuna masupa staa wako very simple kwenye masuala ya vivazi. Lakini wanavaa simple, nice and clean. Wa kwetu wanachemsha kama vile scarfs kwenye jua kali, safety glasses wanafanya miwani ya jua na vitu kama hivyo.
ReplyDeleteDAH! YAANI SCARF KAVAA YEYE MIMI HUKU SHINGO INANIWASHA!
Sir Juma nature kamechisha kofia na skafu... tehe...tehe..tehe halafu wewe unayezungumzia mvua kubwa bongo kumbuka umezungumzia mvua... mvua na baridi vitu viwili tofauti.www.cnn.com/WEATHER/
ReplyDelete