jarida la mach-aprili la kitangoma limeingia mtaani leo. ndani mna mambo kibao zikiwemo picha za harusi ya kinje, mambo ya ray c, hafsa kazinja na presha yake, wanaume halisi wakijifua kambini kwao, ambwene yesaya a.k.a ay akiongelea kazi ya muziki bongo pamoja na nyota ndogo anayetamba afrika mashariki kwa sasa. mlio ughaibuni wasiliana na ahmad @ +255 755 836 972
Home
Unlabelled
kitangoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


MICHUZI ONGERA
ReplyDeleteBWAWA 4 ARS ANAL 1
Naona safari hii umakuja na matangazo sasa si ungetuwekea picha hapo kidogo sisi wengine tupo iraqi tutalipateje hilo gazeti dah sasa mzee angalia unakwenda kubaya sasa namna hii
ReplyDeleteRuksa kuwepo kwenye kava bibie, unatoa burudani safi nje na ndani ya ukumbi.
ReplyDeletemashalaa... swadata
we anony hapo juu acha hizo braza Michu hapo baadae lazima aweke advertisements ili watu watangaze biashara zao kwani hii blogu inapata watu wengi kila kukicha, sasa we unataka akale wapi? aje kubeba box kama wewe, watu wengine bwana kwa kijicho!!
ReplyDelete