jarida la mach-aprili la kitangoma limeingia mtaani leo. ndani mna mambo kibao zikiwemo picha za harusi ya kinje, mambo ya ray c, hafsa kazinja na presha yake, wanaume halisi wakijifua kambini kwao, ambwene yesaya a.k.a ay akiongelea kazi ya muziki bongo pamoja na nyota ndogo anayetamba afrika mashariki kwa sasa. mlio ughaibuni wasiliana na ahmad @ +255 755 836 972

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MICHUZI ONGERA

    BWAWA 4 ARS ANAL 1

    ReplyDelete
  2. Naona safari hii umakuja na matangazo sasa si ungetuwekea picha hapo kidogo sisi wengine tupo iraqi tutalipateje hilo gazeti dah sasa mzee angalia unakwenda kubaya sasa namna hii

    ReplyDelete
  3. Ruksa kuwepo kwenye kava bibie, unatoa burudani safi nje na ndani ya ukumbi.
    mashalaa... swadata

    ReplyDelete
  4. we anony hapo juu acha hizo braza Michu hapo baadae lazima aweke advertisements ili watu watangaze biashara zao kwani hii blogu inapata watu wengi kila kukicha, sasa we unataka akale wapi? aje kubeba box kama wewe, watu wengine bwana kwa kijicho!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...