
kocha wa taifa staaz marcio maximo (kati) akiwa na kocha mpya wa vijana toka brazili marcos tinoco (tamka chinoko) na mwalimu wa viungo wa staaz itamaar (kulia) leo ambapo tinoco amemwaga wino leo mkataba wa miaka miwili kufundisha timu ya taifa za vijana katika mkakati wa bongo ya leo kukuza kabumbu kutoka chini.


Tuko pamoja na COach Maximo...ushindi wa Senegal uwe challege nwetu kugundua makosa madogo madogo
ReplyDeleteKiNyoka
www.taifastars.com
+255 713 481301
Hatuwezi kujenga timu kwa siku moja, itatuchukua muda kidogo, huyu kocha wa vijana ndio atakaye tuletea timu bora miaka ijayo wakati Maximo anaboresha hii ya sasa hivi.
ReplyDeleteKama JK anataka kweli michezo iendelee namshauri waliouziwa maeneo ya viwanja wote waondolewe na mijengo ibomolewe viwanja vitumike kwa ajili ya michezo, laasivyo watoto wetu wataishia kucheza games na mipira kuchezea kwenye vibaraza