kocha wa taifa staaz marcio maximo akiwa na mwanamuziki kida waziri na watoto leo. maximo angali akiheshimika kwa mikakati yake ya kukuza soka la bongo na kila aendapo watu humtia moyo kwa kumwambia kipigo cha senego kisimkatishe tamaa. kida ambaye alitamba sana enzi za vijana jazz ya hayati maneti ameamua kurudi jukwaani na hivi sasa anaanda vituz akiwa na mwanamuziki prodyuza omari mkali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wabongo walieneza kipindi fulani kuwa huyu Kida Waziri amevuta? Mie nilijua kweli..Manake alikuwa anatoka na Maneti na maneti aliondoka kwa gonjwa jipya..kumbe bado yupo? basi kumbe dawa za kuongeza maisha? nguvu? zinafanya kazi

    ReplyDelete
  2. michuzi kwa heshima na taadhima naomba wimbo kida waziri yaani nimemkumbuka juzi tu leo napita hapa kwako nakuta picha yake ,dahaaa nimekumbuka mbali sana ,


    kwanza mngejiuliza oghoo
    kipi ananipendea oghh
    manadhani ni miti shamba
    na mapenzi hayana dawa
    jamani nifanye nini kia nifanye nini naelewa mazoea yanatabu lakini nitajitahiidi kusahau,
    chonde michuzi nitafutie wimbo huo kaka yangu

    ReplyDelete
  3. Duu mwana dada bado yupo oda, watoto wake kama wadogo zake nimempenda. na huyo jamaa pembeni saiz yake, Kida usimuache, ila namshauri jamaa atumimie mipira.

    ReplyDelete
  4. Hivi Maksimo anakula mzigo nini? Yah, upweke sometimes noma!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...