Home
Unlabelled
kujichana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu, hizo "safari" na kipakti cha sigara ndiyo uzuri wa Bongo ama? Mambo ya Ulabu yanaturudisha nyuma sana. Ofisi za serikali ukienda jumatatu asubuhi watu hengiova haijaisha. Tumbaku ndo usiseme. Ulaya wamepiga marufuku baadhi ya matangazo Bongo ndo zinahamia. Botswana wanajiandaa kutunga sheria ya Unywaji pombe. Kwa huu ulabu wetu tunawatajirisha makaburu wawekezaji full stop!!!!!!!!
ReplyDeleteHapo kama sikosei ni Rose Garden!
ReplyDeleteHeeh.... Huyo jamaa wa kwanza kushoto sio Jones Maccoe yule wa www.smstz.com?
ReplyDeletehii picha imenipa information moja, ni kwamba Michuzi unavuta sigara na unavuta SM!.
ReplyDeletekwa kuangalia paketi ya sigara iliyopo ktk kiti kilicho wazi (ambacho naamini ulikuwa umekaa wewe)..
hivi michuzi kuonesha bongo poa ni ''lazima'' na mtu mweupe awepo kwa picha hiyo??hapo ni baa, ingekuwa uswazi kwetu unionyeshe ugali au vyakula vyetu vingine ningekupa heko...
ReplyDeleteMaoni yangu umeyabana...
ReplyDeleteNiliuliza..Hii picha inatufundisha nini???
Hao watu ni kina nani au wana shuguli gani za kujenga taifa hili?
jamani muacheni michuzi afanye kama yeye hawezi kuwa kama nyie na nyie amuwezi kuwa kama michuzi,ok!nonsense...
ReplyDeleteAisifuye mvua imemnyeshea....nimesahau hii misali lakini nadhani mnanielewa....kila mtu anaridhika na maisha kwa malengo yake.
ReplyDeleteKwa michuzi life is all good once his stomach is full and a pack of cigarate aside.
Kwa hiyo musilumbane bure. Hii ni kama persona diary yake na once ukianza kusoma diary za watu ndio unayakuta haya na kumwelewa mwandishi vizuri....
Uzuri wa Tanzania uko wapi kwenye hiyo picha? Hiyo picha inaonyesha vipi uzuri wa Tanzania? Je ni hao wazungu? Mbona wazungu Tanzania wamekuwepo toka kabla ya Tanganyika kupata uhuru. Au ni hizo beer bottles? Au ni hicho chakula ambacho ni rich in fat(unhealthy)? Tuwe na upana wa mawazo jamani tunapoandika humu........
ReplyDeleteTBL wameongeza tena bei ya beer kwa Tsh100, hawa jamaa wamekuja kuvuna huku kwetu na wla sio kuwekeza, mi ndio maana naona bora kunywa serengeti
ReplyDelete