tofauti na nchi zingine katika falme za kiarabu za imarati, dubai kujirusha na kilaji ni ruksa. hapa ni rush inn sehemu za bur dubai ambapo kuna mabolingo ya kikongo na sebene nzito. snepu ndani hawaruhusu imebidi nipige na baunsa na myuzisheni wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ahh, Lordwell Lugano au "MC" (wa kulia), kumbe uko Dumila kama bouncer!. Sisi tunadhania huko Manchester kama unavyotaka tuamini!

    Michuzi kwa hakika unatuleta Watanzania karibu zaidi. Jamaa alipotea miaka mingi sana tulikuwa hatujui aliko. Udumu michuzi!

    ReplyDelete
  2. sasa ulikua unatalakakujua aliko ili iweje? Ili mradi familia yake haijareport kuwa amepotea wewe pilipili inakuwashia nini?
    Unamdai? No...sasa sijui lipi jipya kwako...watu wengine bwana...taabu tu ndio maana amejificha ...hata kama ningekua ni mimi ningejificha tu. Friends like you who need the enermy.

    ReplyDelete
  3. MC au Lord kama anavyojulikana hapa South London hajawahi kukanyaga hata Pemba licha ya huko Uarabuni (Not disrespect). Huyo mtoa maoni anahitaji miwani ya macho kwani MC hayuko 'disfigured' kiasi hicho. Show some respect and stop speculation.

    ReplyDelete
  4. MC ama Lodwell, hao watu wana wivu sana, si unakumbuka kuwa hata ulipotoka ktk Mechi ya Brazil na Argentina pale imarati watu walichonga sana? "eti kwa nini watu mtokektk website" sasa na wao wametoka lakini kimya? bado nasisitiza kuwa ni wivu tu hawana jipya. wewe dunda tu London na familia yako.

    ReplyDelete
  5. Kube MC upo?
    TUnashukuru kwa uliyeanzisha gumzo.

    Rudi nyumbani lakini. Utachakaa huko ughaibuni. Nyumbani bora zaidi na usikate kwenu, KYELA

    ReplyDelete
  6. Anonymous ya nini, mimi sidaiwi na mtu yeyote na wala sina shida ya makaratasi nilkimaliza course narudi zangu Dar. Mimi ni Atupele Mwakyembe tulikuwa wote Runwe Sec na IFM tulimaliza wote, kama ukiona huo ujinga hapo juu wala huna haja ya ku-respond achana na wabongo hii yote ni wivu tu kwa sababu mambo yako mengi yako freshi na ndiyo maana watu wengi wanaomba ushauri kwako na nasikia watu wengi wanakushukuru kwa kuwasaidia ku-settle London. Salimia familia yako na nasikia ulioa na una mtoto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...