Home
Unlabelled
kujirusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ahh, Lordwell Lugano au "MC" (wa kulia), kumbe uko Dumila kama bouncer!. Sisi tunadhania huko Manchester kama unavyotaka tuamini!
ReplyDeleteMichuzi kwa hakika unatuleta Watanzania karibu zaidi. Jamaa alipotea miaka mingi sana tulikuwa hatujui aliko. Udumu michuzi!
sasa ulikua unatalakakujua aliko ili iweje? Ili mradi familia yake haijareport kuwa amepotea wewe pilipili inakuwashia nini?
ReplyDeleteUnamdai? No...sasa sijui lipi jipya kwako...watu wengine bwana...taabu tu ndio maana amejificha ...hata kama ningekua ni mimi ningejificha tu. Friends like you who need the enermy.
MC au Lord kama anavyojulikana hapa South London hajawahi kukanyaga hata Pemba licha ya huko Uarabuni (Not disrespect). Huyo mtoa maoni anahitaji miwani ya macho kwani MC hayuko 'disfigured' kiasi hicho. Show some respect and stop speculation.
ReplyDeleteMC ama Lodwell, hao watu wana wivu sana, si unakumbuka kuwa hata ulipotoka ktk Mechi ya Brazil na Argentina pale imarati watu walichonga sana? "eti kwa nini watu mtokektk website" sasa na wao wametoka lakini kimya? bado nasisitiza kuwa ni wivu tu hawana jipya. wewe dunda tu London na familia yako.
ReplyDeleteKube MC upo?
ReplyDeleteTUnashukuru kwa uliyeanzisha gumzo.
Rudi nyumbani lakini. Utachakaa huko ughaibuni. Nyumbani bora zaidi na usikate kwenu, KYELA
Anonymous ya nini, mimi sidaiwi na mtu yeyote na wala sina shida ya makaratasi nilkimaliza course narudi zangu Dar. Mimi ni Atupele Mwakyembe tulikuwa wote Runwe Sec na IFM tulimaliza wote, kama ukiona huo ujinga hapo juu wala huna haja ya ku-respond achana na wabongo hii yote ni wivu tu kwa sababu mambo yako mengi yako freshi na ndiyo maana watu wengi wanaomba ushauri kwako na nasikia watu wengi wanakushukuru kwa kuwasaidia ku-settle London. Salimia familia yako na nasikia ulioa na una mtoto.
ReplyDelete