KUNA WADAU AMBAO WAMEKUWA WAKITEMBELEA UKURASA WANGU MMOJA AMBAO UNA RANGI NYEUSI NA AMBAO KWA SASA SIUTUMII TENA. VILE VILE KUNA WANAOPATA SHIDA KUUPATA UKURASA HUU ULIO HAI. NAWAOMBE MTUMIE www.issamichuzi.blogspot.com ILI KUWEZA KUINGIA HAPA KWA URAHISI. YAANI HATA KAMA UNATUMIA GOOGLE ANDIKA ANUANI KAMA INAVYOONEKANA HAPO JUU. SAMAHANI SANA KWA USUMBUFU WADAU WANGU WAPENDWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mimi tatizo langu ni kuwa nikitumia Wondows Vista sioni blog hii na mara nyingine naona maandishi tu lakini sioni picha. Lakini sina matatizo kabisa nikitumia windows Xp au Netware. Naomba mniambie jamani niweze kuisoma hii blog nikiwa nyumbani.

    ReplyDelete
  2. Mie tatizo langu ni kwenye hii blog tukufu ya Michuzi, anazembea kuiconfigure ionyeshe multipage kwa picha za kila mwezi, hivyo picha za chini ya ukurasa zinapotea akiongeza nyingine juu. Yaani, kaazi kwili kwili ukitaka kitu, inabidi utumie search, na kwenye tafuta inabidi ujue alitumia neno gani siku hiyo kwenye picha fulani.

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    kwa vile hao watu wanaoishiwa kwenye blogu yako ya rangi nyeusi hawawezi kufika hapa, ingekuwa vyema kama ungeuandika huko huu ujumbe uliouandika hapa wenye anwani yako mpya ili waitumie. Hapa hawawezi kufika hivyo hawataweza kusoma tangazo mahali ambapo hawajafika.
    Wasalaam,
    Subi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...