KUNA WADAU AMBAO WAMEKUWA WAKITEMBELEA UKURASA WANGU MMOJA AMBAO UNA RANGI NYEUSI NA AMBAO KWA SASA SIUTUMII TENA. VILE VILE KUNA WANAOPATA SHIDA KUUPATA UKURASA HUU ULIO HAI. NAWAOMBE MTUMIE www.issamichuzi.blogspot.com ILI KUWEZA KUINGIA HAPA KWA URAHISI. YAANI HATA KAMA UNATUMIA GOOGLE ANDIKA ANUANI KAMA INAVYOONEKANA HAPO JUU. SAMAHANI SANA KWA USUMBUFU WADAU WANGU WAPENDWA
Home
Unlabelled
KUNRADHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mimi tatizo langu ni kuwa nikitumia Wondows Vista sioni blog hii na mara nyingine naona maandishi tu lakini sioni picha. Lakini sina matatizo kabisa nikitumia windows Xp au Netware. Naomba mniambie jamani niweze kuisoma hii blog nikiwa nyumbani.
ReplyDeleteMie tatizo langu ni kwenye hii blog tukufu ya Michuzi, anazembea kuiconfigure ionyeshe multipage kwa picha za kila mwezi, hivyo picha za chini ya ukurasa zinapotea akiongeza nyingine juu. Yaani, kaazi kwili kwili ukitaka kitu, inabidi utumie search, na kwenye tafuta inabidi ujue alitumia neno gani siku hiyo kwenye picha fulani.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletekwa vile hao watu wanaoishiwa kwenye blogu yako ya rangi nyeusi hawawezi kufika hapa, ingekuwa vyema kama ungeuandika huko huu ujumbe uliouandika hapa wenye anwani yako mpya ili waitumie. Hapa hawawezi kufika hivyo hawataweza kusoma tangazo mahali ambapo hawajafika.
Wasalaam,
Subi.