wadau kunradhi kwa ukimya wa leo. huku dumila ijumaa ni kama jumapili hivyo ni siku ya mapumziko. na mie nikaona kwa vile niko roma ache nifanye kama wao. kesho mambo kama kawa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bila kumradhi Michuzi,

    Kwenye mapumziko wewe pumzika tu mwe--unayotufanyia sisi ni makubwa.Mungu akuzidishie ndugu yetu we.

    Mapumziko mema.

    ReplyDelete
  2. Ni kam Jumamosi (sabato) ukiwa kwa wayahudi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...