wadau kunradhi kwa ukimya wa leo. huku dumila ijumaa ni kama jumapili hivyo ni siku ya mapumziko. na mie nikaona kwa vile niko roma ache nifanye kama wao. kesho mambo kama kawa.
Home
Unlabelled
kunradhi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Bila kumradhi Michuzi,
ReplyDeleteKwenye mapumziko wewe pumzika tu mwe--unayotufanyia sisi ni makubwa.Mungu akuzidishie ndugu yetu we.
Mapumziko mema.
Ni kam Jumamosi (sabato) ukiwa kwa wayahudi.
ReplyDelete