hapa ndipo nilipojibanza. wadau wa dumila tuwasiliane basi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tumezoea kukuona kwenye ma 5 star leo naona umeingia uswahilini

    ReplyDelete
  2. KAMA SAMORA AVENUE VILE,DU AMA KWELI BONGO VIONGOZI WETU WAMEAMUA,KUONDOKA MIEZI SITA ILIYOPITA TU MARA HII KUMEBADILIKA,HONGERA SANA MH.KIKWETE.by manyunyu

    ReplyDelete
  3. dumila ni wapi wajameni?

    ReplyDelete
  4. Mdau hapo juu Dumila ni Dubai (United Arab Emirates) nakumbuka hiyo mitaa kwani hiyo hotel bei poa
    michuzi weka picha za Abudhabi pia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...