ukiwa dumila windoshopingi muhimu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. kaka habari mvunjiko dito amepewa dhamana kaka yuko nje mzee wa watu

    Issa K
    UKerewe

    ReplyDelete
  2. Eh bwana Michuzi hivi kitu kama hicho kina coast fedha ngapi. Just curious!! I can afford anyway!

    ReplyDelete
  3. mwambie j nature a-trade in mkangavu wake na kitu hicho, if he want to eat a toad he better eat a juicy one! hahahahaha

    ReplyDelete
  4. Usijaribu kununua maana hata lilikotokea halijulikani

    ReplyDelete
  5. Ndio hili hili nilikuwa nalitaka, kumbe ukiagizwa kitu unakuwa makini eehh, sasa fanya mpango ulitume ile hela si inatosha, kama haitoshi sema niongeze ngapi

    ReplyDelete
  6. Tuelimishane Wadau,
    Nikitaka kununua Gari Dubai utaratibu upoje?

    Naomba Msaada. manake niliuliza watu wakawa wananiletea za kuleta wakitaka niwape 'dili'. nikashtuka kimtindo

    ReplyDelete
  7. utaratibu wa kununua gari dubai ni kupanda ndege mpaka dubai zunguka kwa dealers halafu ndo unanunua. umeelewa?
    tumia internet uone utavoliwa, Japan YES nunua kwenye net, done it before n went smooth.

    ReplyDelete
  8. du babukubwa, bei gani hilo li gari?

    ReplyDelete
  9. Mimi simshauri mtu kununua gari dubai kwani nimekwishalizwa na hayo magari, kama unapesa yako bora ununue Japan.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...