
leo nimepata bahati na heshima kukutana uso kwa uso na bosi wa idhaa ya kiswahili ya bbc mh. solomon mugera aliyeko bongo kwa ziara fupi ya kikazi. huyu kaka ambaye yuko simpo na mcheshi ndiye mrithi wa kaka tido mhando ambaye sasa anaongoza taasisi ya utangazaji bongo inayojumuisha redio tanzania na tvt. karibu bongo mh. mugera
amekwambia alivyojaza warundi na wakenya pale swahili ili hali anazidi kumpiga mark time Yakubu na part time
ReplyDeleteMkikuyu mkikuyu tuuu hana tofauti na mchaga na mhaya