leo nimepata bahati na heshima kukutana uso kwa uso na bosi wa idhaa ya kiswahili ya bbc mh. solomon mugera aliyeko bongo kwa ziara fupi ya kikazi. huyu kaka ambaye yuko simpo na mcheshi ndiye mrithi wa kaka tido mhando ambaye sasa anaongoza taasisi ya utangazaji bongo inayojumuisha redio tanzania na tvt. karibu bongo mh. mugera

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. amekwambia alivyojaza warundi na wakenya pale swahili ili hali anazidi kumpiga mark time Yakubu na part time

    Mkikuyu mkikuyu tuuu hana tofauti na mchaga na mhaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...