Home
Unlabelled
libeneke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Habari zenu ndugu zangu wa ukerewe.
ReplyDeleteNafikiri kwanza kabisa mnatutia kichefuchefu kwa jinsi mkitoa comments zenu kuanza kusagia bongo, as if wewe ni mtu uliyezaliwa huko, unatakiwa kuchangia maoni na kama uko huko kwa ajili ya shule au unafanya kazi unatakiwa urudi nyumbani kuja kujenga taifa letu kwa kuiga mfano wa huko na sio kusema eti "wabongo na nyie hiki na kile" wewe ni mbongo tu.
Sasa ninachotaka kusema kwanza nashukuru sana bwana misupu kwa kutuletea hii picha ya hawa jamaa wanaopiga lisebene eti mnanichekesha kweli hivi mnalijua sebene au mnasema?? Mimi naona hapa mnaposema ni Club Afrique kwa kweli ni LAW CLASS MNO hata sijui nipafananishe wapi yaani ndio mnajidai kuwa mko kwenye nchi za watu wenye akili na mnajiita nyie ni wamoja wao, kwa kweli mmerukwa na akili kama sio mapunguani. Huku bongo ukiingia club zina akili sio hiyo kwanza watu wenyewe wachafu, wachovu hata sijui niwa-describe vip sielewi. Hao ma-stage-show hapo wamevaa nguo za mtumba kwanza hazina class halafu hawafanani hata kidogo utafikiri mnaenda kufagia barabara. Jamani jamani inabidi niwaonee huruma sana kwa kweli rudini nyumbani ndugu zangu nasikia wengine huko manalala mitaani poleni sana ili mradi ujulikane uko ughaibuni. Sasa tumewaona kwa jinsi gani mnavyotia huruma kwa hilo. Bwana kuna sebene la TWANGA NA KUPEPETA nafikiri mmeshaona vitu vyao wakina dada warembe kama akina Aisha madinda, Lilian Internet na wengineo walivyo watanashati, wanavaa vizuri na kupendeza sio hao wauza mitumba wenu mliwaweka hapo kwenye stage wakijiona wako kwenye mbigu ya saba. POLENI SANA.
Wewe unayekandia club Afrique tuoneshe hiyo yako safi.Pumbavu kabisa wewe.Kwani ulipokuwa Bongo Sebene ulikuwa unakwenda wapi??FM kinondoni,Twanga....au wapi????
ReplyDeleteJamani tukifika ulaya tusijidai kukandia vitu.Mpe Jesse ushauri na si kuandika ujinga.Ohhh Class wakati saa nyingine utaoka manzese kwa mfuga mbwa.
Jesse ushauri chukua,huo ujinga mwingine mwachie.Tupe KISANOLA.Wanaotaka uzungu waende huko wanakosema kuna class.Huyo ukimuuliza neno class lina maana gani hajui.Class si kutoenda club afrique tu.Na mengine mengi.
huyu dada hamzidi aisha madinda,au lilian nani vile!lilian email,kama sijakosea,ah poa,huyohuyo mnayemjua.BY MANYUNYU
ReplyDeletehave u been to ukerewe? don't talk about places or things you don't know about!And for your info those guys dancing are from congo they wear expensive clothes than most of us.Tembea uone don't jus live there and talk bull***
ReplyDeleteama kweli baadhi ya wabongo waishio nje ya nchi ni wapumbavu na walimbukeni wakubwa.
ReplyDeletehivi wewe unayeikandia bongo,umezaliwa wapi?hivi mtu mwenye akili timamu kweli anakana kwao?nyie ndio wale mnaishi tandale unashinda masaki.
au huko kujilipua kwenu ndio kunawapa kiburi?kumbuka kuna siku ukibainika utarudishwa kwenu ambako ni bongo,haki ya nani,endeleeni kujificha hivyohivyo,nikikubaini kwamba umejilipua lazima nikakuchomee kwa GARDA(na usiulize GARDA ni nani kama haujawahi fika IRELAND)
nyie ndio mnao wakana wazazi wenu na kusema wamekufa ingali wapo hai,shenzi taip.haooooo malimbukeni na nchi za watu,tafuta maisha urudi kwenu,kama nchi yako mbovu,jitahidi urekebishe sio kukandia.kama wewe umekaa miguu juu nani akutengenezee?mtumwa we uliyeshindwa kujikomboa,wenzako tulipata uhuru toka mwaka 1961,sasa hivi 2007 bado ni mtumwa ulikuwa wapi?
kuna usemi wakale,CHA MTU MAVI UKIKIONA KITEMEE MATE.
na kwataarifa yako usifikiri alioandika ni babu aliyestaafu bongo,ninayeandika ni binti wa miaka 20 tu na nipo ulaya kama wewe mjinga,kama unaijua DUBLIN,na siwezi kujisifia na nchi za watu,nimekuja kujaribu maisha ila mwisho wa siku narudi BONGO,TEGETAAAAAAAAAA,sio limbukeni kama wewe wakujilipua,"HOME SWEET HOME".waulize WANAUME TMK iliyokufa wakwambie "NYUMBANI NI NYUMBANI HATA KUKIWA VICHAKANI"