limo linalombeba jk likiondoka kwenye eneo la hafla jijini kopenihageni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Babu unajua maana ya Limo lakini?

    ReplyDelete
  2. Kaka kila gari la bei mbaya siyo limo, hiyo ni mercedez sedan, upoo? at least ingekuwa maybach( maibahaa) ungeweza kuiita limo.

    ReplyDelete
  3. tatizo ni kwamba vijana mnawaza sana stretch.any luxurious machine inaweza kupewa hiyo status.

    these days a limo can be a luxuriou chauffeur-driven car.siyo lazima iwe stretched.lakini zingatia stretched limousine...ina maana kwamba ni limo, lakini ipo stretched.

    let's check this out.

    Limousine

    ReplyDelete
  4. tatizo ni kwamba vijana mnawaza sana stretch.any luxurious machine inaweza kupewa hiyo status.siyo lazima milango sita.

    these days a limo can be a luxuriou chauffeur-driven car.siyo lazima iwe stretched.lakini zingatia stretched limousine...ina maana kwamba ni limo, lakini ipo stretched.

    let's check this out.

    Limousine

    ReplyDelete
  5. Main Entry: lim·ou·sine
    Pronunciation: \'li-mə-zēn, li-mə-'\
    Function: noun
    Etymology: French, literally, cloak, from Limousin, France
    Date: 1902

    1 : a large luxurious often chauffeur-driven sedan that usually has a glass partition separating the driver's seat from the passenger compartment
    2 : a large vehicle for transporting passengers to and from an airport

    ReplyDelete
  6. Ma-anonymous wa tatu na wa nne laiti ningekuwa na zawadi ningewapa kwa majibu mliyoyatoa.Unajua sisi Watanzania mara nyingi ujuaji wetu usio na msingi unatuponza,angalia hao wa kwanza na wa pili hapo juu wanavyojifanya wanajua nini maana ya limo.Katika kutokujua kwao walidhani limo ni gari refu tu bila kuwa na habari kwamba kinachofanya gari liitwe limo ni ukubwa wa umbo na matumizi yake hasa yakiwa ni official engagements na wala siyo urefu.Kama mlivyoweka wazi yale marefu yanafahamika kama "stretch limousines".

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. JAMANI NGOJA NIWA SKUL KIDOGO APART FROM STREACH AMBAZO MMEZIZOEA PIA KUNA BMW 750iL HIYO L MAANA YAKE NI LIMO YOU GET EXTRA SPACE ON THE REAR SEAT AMBAYO HAUWEZI KUPATA KWENYE GARI NYINGINE YEYETO, MERC S500L PIA WANAFANYA HIZO MODEL PUT IN YOUR MIND NI SPECIAL ORDER THE DONT STOCK THEM UNLESS SECOND HAND.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 08, 2007

    Very nice Limo. It's fun to think what is the common things to all bad politics. They arrive in limos and they speak a lot without telling nothing.

    ReplyDelete
  10. The Hummer-Super Stretched limo (limo hire London) is one of a kind. It oozes prestige,luxury and is fitted with all the entertainment and comfort gadgets any one would desire.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...