Home
Unlabelled
limo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Babu unajua maana ya Limo lakini?
ReplyDeleteKaka kila gari la bei mbaya siyo limo, hiyo ni mercedez sedan, upoo? at least ingekuwa maybach( maibahaa) ungeweza kuiita limo.
ReplyDeletetatizo ni kwamba vijana mnawaza sana stretch.any luxurious machine inaweza kupewa hiyo status.
ReplyDeletethese days a limo can be a luxuriou chauffeur-driven car.siyo lazima iwe stretched.lakini zingatia stretched limousine...ina maana kwamba ni limo, lakini ipo stretched.
let's check this out.
Limousine
tatizo ni kwamba vijana mnawaza sana stretch.any luxurious machine inaweza kupewa hiyo status.siyo lazima milango sita.
ReplyDeletethese days a limo can be a luxuriou chauffeur-driven car.siyo lazima iwe stretched.lakini zingatia stretched limousine...ina maana kwamba ni limo, lakini ipo stretched.
let's check this out.
Limousine
Main Entry: lim·ou·sine
ReplyDeletePronunciation: \'li-mə-zēn, li-mə-'\
Function: noun
Etymology: French, literally, cloak, from Limousin, France
Date: 1902
1 : a large luxurious often chauffeur-driven sedan that usually has a glass partition separating the driver's seat from the passenger compartment
2 : a large vehicle for transporting passengers to and from an airport
Ma-anonymous wa tatu na wa nne laiti ningekuwa na zawadi ningewapa kwa majibu mliyoyatoa.Unajua sisi Watanzania mara nyingi ujuaji wetu usio na msingi unatuponza,angalia hao wa kwanza na wa pili hapo juu wanavyojifanya wanajua nini maana ya limo.Katika kutokujua kwao walidhani limo ni gari refu tu bila kuwa na habari kwamba kinachofanya gari liitwe limo ni ukubwa wa umbo na matumizi yake hasa yakiwa ni official engagements na wala siyo urefu.Kama mlivyoweka wazi yale marefu yanafahamika kama "stretch limousines".
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteJAMANI NGOJA NIWA SKUL KIDOGO APART FROM STREACH AMBAZO MMEZIZOEA PIA KUNA BMW 750iL HIYO L MAANA YAKE NI LIMO YOU GET EXTRA SPACE ON THE REAR SEAT AMBAYO HAUWEZI KUPATA KWENYE GARI NYINGINE YEYETO, MERC S500L PIA WANAFANYA HIZO MODEL PUT IN YOUR MIND NI SPECIAL ORDER THE DONT STOCK THEM UNLESS SECOND HAND.
ReplyDeleteVery nice Limo. It's fun to think what is the common things to all bad politics. They arrive in limos and they speak a lot without telling nothing.
ReplyDeleteThe Hummer-Super Stretched limo (limo hire London) is one of a kind. It oozes prestige,luxury and is fitted with all the entertainment and comfort gadgets any one would desire.
ReplyDelete