hapa dumila maboksi kama kawa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HAPO WABEBAJI WAKUBWA WA MABOKSI NI WAHINDI

    ReplyDelete
  2. waslimie sana wakina Isihaka, Nassoro Riyami kaka yake Khadija Riyami, Haidari Abeid (MUCHACHO)Khamis Askari. hapo unapojichana ni ZANZIBAR RESTAURANT NINI Michuzi?

    ReplyDelete
  3. Nina kitendawili...

    'kitendawilii.......' haya michuzi sema 'tegaaaa!'

    Nina timu yangu ukerewe yenyewe hucheza ligi na timu 2 tu home+away msimu mzimaa........

    Nani aweza kujibu. wote mmekosa.

    Jibu ni Arsenal. yenyewe ikishacheza na Man U na liverpool wanatundika buti wanasubiri msimu ujao; wao ligi imeshaisha!!

    ReplyDelete
  4. Michuzii waambie waje Ukerewe kuchukua staff tuko wengi tunangojea kuitwa na agency

    ReplyDelete
  5. kama kariakoo vile, kweli nchi za dunia ya tatu.

    ReplyDelete
  6. Hii ni tofauti baina ya fikra ya Dubai na Tanzania. Hapa Wahindi wengi kuliko raia wa UAE lakini hamna anayelalamika. Watu wanafanya kazi na hiyo mishahara yao midogo inaendeleza nchi yao, hawa wahindi wanaingiza bilioni 20 kila mwaka nchini kwao kutokana na kazi yao hapa Dubai tu. Je, sisi tutafika lini?

    ReplyDelete
  7. Watu wa Ukerewe tupeni experience, hivi haya mabox kwa wastani yanakuwa na uzito gani? mbona mkirudi bongo hamuonekani kujazia kama makuli? ooh sorry kama mabaunsa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...