Home
Unlabelled
maboksi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAPO WABEBAJI WAKUBWA WA MABOKSI NI WAHINDI
ReplyDeletewaslimie sana wakina Isihaka, Nassoro Riyami kaka yake Khadija Riyami, Haidari Abeid (MUCHACHO)Khamis Askari. hapo unapojichana ni ZANZIBAR RESTAURANT NINI Michuzi?
ReplyDeleteNina kitendawili...
ReplyDelete'kitendawilii.......' haya michuzi sema 'tegaaaa!'
Nina timu yangu ukerewe yenyewe hucheza ligi na timu 2 tu home+away msimu mzimaa........
Nani aweza kujibu. wote mmekosa.
Jibu ni Arsenal. yenyewe ikishacheza na Man U na liverpool wanatundika buti wanasubiri msimu ujao; wao ligi imeshaisha!!
Michuzii waambie waje Ukerewe kuchukua staff tuko wengi tunangojea kuitwa na agency
ReplyDeletekama kariakoo vile, kweli nchi za dunia ya tatu.
ReplyDeleteHii ni tofauti baina ya fikra ya Dubai na Tanzania. Hapa Wahindi wengi kuliko raia wa UAE lakini hamna anayelalamika. Watu wanafanya kazi na hiyo mishahara yao midogo inaendeleza nchi yao, hawa wahindi wanaingiza bilioni 20 kila mwaka nchini kwao kutokana na kazi yao hapa Dubai tu. Je, sisi tutafika lini?
ReplyDeleteWatu wa Ukerewe tupeni experience, hivi haya mabox kwa wastani yanakuwa na uzito gani? mbona mkirudi bongo hamuonekani kujazia kama makuli? ooh sorry kama mabaunsa
ReplyDelete