msimu wa mahindi tayari umeshaanza. hapo bati tu umekula kipisi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. unamaanisha nini unaposema 'bati' fedha kiasi gani? au umechapia?

    ReplyDelete
  2. Hapa umeniacha sana...maana...vingine vyote vina copy cat yake lakini kwa mahindi ya kuchoma kweli hamna kabisa.....hata ufanyaje ...yaliyopo ...ni basi tu.......oh my......

    ReplyDelete
  3. Bati si shilingi 100 kweli?

    ReplyDelete
  4. "Bati" hata soda hupati..naona mahindi yapo cheap kweli kweli kama kumsukuma mlevi vilee...

    NB: "Bati" ni nyanga kwa msiojua

    ReplyDelete
  5. acheni kuchemka,bati ni sh.200,du huku dublin hakuna mahidi ya kuchoma,michuzi acha kututamanisha.by MANYUNYU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...