refa katuua...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. Pole ndugu yangu Michuzi! Ndio mpira huo, ni duara, unadunda, lolote laweza kutokea katika dakika yeyote ya mchezo. Leo ni furaha yetu, tumewafunga, jana tumewafunga pia labda kesho zamu yetu kufungwa, sina maana ya Yanga bali Man United!
    /maggid, Iringa.

    ReplyDelete
  2. kawaua wapi issa mmechoka tu'usijali sana ndo soka hilo!

    ReplyDelete
  3. Pole sana misupu..waamuzi wa hapa msimu huu wamechemsha sana!!! hata Arsenal wamekuwa wakibaniwa sana....usijali kaka yangu jitahidi kuvumilia.

    ReplyDelete
  4. ha ha ha haa! Pole sana kaka.Huo msemo unaniua sana uko sana kwenye soka letu la Jangwani na Msimbazi.

    Mlicheza vizuri na refa akawasaidia kumtoa Scholes lakini umaliziaji wenu ulikuwa butu.

    Au Man U wameroga nini?

    ReplyDelete
  5. refa hajawaua, mmejiua wenyewe.12-2 corners taken, you guys out-perform man-united. lakin mmeshindwa kufunga magoli.Yule jamaa anakenua meno tu mbele badala ya kutafuta magoli. Halafu kocha mwenyewe kasinzia kinoma. badala ya kumuingiza atleast kipindi chote cha pili crouch na pennant, kawaweka mwisho. anyway just focus in champions league, kwani man-united watachukua league, chelsea FA cup,may be champions league, so your only option is only to beat barcelona, which i think they are going to smoke your ass 5-1

    ReplyDelete
  6. MAINI YAMELIWA

    ReplyDelete
  7. michuzi afadhali umejisalimisha mwenyewe kutoka mafichoni.umekuwa ukitukalia kooni sisi wa kikosi cha mizinga imarati - arsenal [the gunners] kwa kupoteza mechi za carling cup na fa cup.

    vyema kwamba leo tumeshinda, nanyi mmeteleza, japo mlikuwa na uwezo wa kuwadhibiti red devils.ndiyo kabumbu ilivyo, mambo siyo rahisi kama kusoma kitabuni.tuko pamoja lakini.

    mdau wa imarati

    ReplyDelete
  8. hahahahahahaha

    ReplyDelete
  9. We baba utakufa na presha! Hama hicho kimeo chako

    ReplyDelete
  10. WAHENGA WALISEMA USITUKANE WAKUNGA! HAHAHAHAHAHAH!POLE MZEE

    ReplyDelete
  11. Refa Hajawaua wala nini. Maji yalizidi unga. Afadhali unyamaze kidogo kwani mbwembwe zilizidi. Na sasa mkae mkao wa kula kwani Barcelona wanaweza kwenda kuuazima na kuunoa wembe uliowanyoa.

    ReplyDelete
  12. Macho ka Mjusi aliyebanwa na mlango. Hicho ni kibano cha MU.

    ReplyDelete
  13. http://www.teamtalk.com/football/story/0,16368,2483_1956537,00.html

    John O'Shea scored in injury-time to put the Red Devils 12 points ahead of Chelsea, with the champions playing at Portsmouth later on Saturday.

    Liverpool will moan about dominating the match, and the fact that substitute O'Shea's winner was only United's second on-target shot in what was a disappointing match.

    But United's fans will not care one jot. They celebrated as if they had won the title, and their players joined in after four minutes of injury-time.

    Liverpool trudged away knowing they should have won but did not have the firepower to turn dominance into goals.

    Gone is Liverpool's 30-match unbeaten home league record, stretching back to October 2005.

    All they have left is the Champions League clash with Barcelona on Tuesday, a game they must win - or not lose - to avoid their season ending in the first week of March.

    Liverpool boss Benitez looked stunned by the defeat and said: "I would have trouble explaining how we lost that in Spanish; in English I find it almost impossible.

    "We dominated the game, were in control and had plenty of attacks. Sometimes football is all about luck. When you have so much of the play and make chances without scoring, you must be careful against a team as good as United.

    "United have a great defence and a fine goalkeeper. He stopped one from Peter Crouch at the end everyone felt was going in. But although we had so much of the game, we did not make too many chances.

    "The decision to disallow Craig Bellamy's effort in the first half for offside was right. It just was not our day."

    He added: "United are really close to the title now. Chelsea are a good team, but they cannot make mistakes now because United will continue to win.

    "As for us, we are down now, but we will train hard and be ready for Barcelona on Tuesday."

    ReplyDelete
  14. MASHETANI WEKUNDU WABAYA THANA YAANI WAMEKULA MAINI YOTE NA KULIFYONZA KABITHA BWAWA LA MAINI KAMA NILAVYO THAMBUTHA.HII KWELI THI NCHEDHO.POLE MITHUPU.NDIO KUKUA HUKO KAKA;UKIKUA UTAACHA!

    ReplyDelete
  15. Sasa wewe Magid unaombea kweli YANGA ifungwe. Sasa kwa taarifa yako yanga hafungwi na atazidi kusonga mbele. Ulie tu mwaka huu na SIMBA yako kimeo. Umeniudhi kwa kukosa uzalendo.

    ReplyDelete
  16. ndio michu nilikueleza kuwa hiyo nguo uivae hivyo hivyo siku jmosi kwa sababu nilijua kipigo kina kukabili wala usimsingizie refa MAN wao wamenyiwa penati kama umeangalia mpira vizuri SAHA amekatwa ndani ya box refa kapeta amemtoa mchezaji wao kwa kadi nyekundu sasa michu ulitaka ubebwe vipi wakati haubebeki?

    ReplyDelete
  17. pole sana michu kwani MAN ni ngoma kubwa. kingine nakutahazalisha kuwa mpira ya jumanne na barcelona una %80 ya kufungwa kwahiyo funga mdomo wako usije ukapata aibu kama ya leo na ushukuru sana umewahi kujisalimisha.

    ReplyDelete
  18. TUTAJIBU KWENYE CHAMPION LIGI! MICHUZI USILIE SANA, TULIWAZIDI SANA KIMCHEZO!

    ReplyDelete
  19. Pole Kaka Michuzi.

    Man utd wameshinda mechi ambayo hawakutakiwa kushinda.Na Liverpool wamefungwa wakati wamepata Karibu 20+ nafasi za kufunga.

    Kitu ambacho huwa hakitegemewi na injustice ndio maana tunaupenda mchezo huu wa mpira. Na ndio maana siendi kukubali Manutd ni champion mpaka hesabu ziseme ninaweza.

    Ninakubali kabisa Liverpool wanacheza vizuri sana, lakini ninafikiri mnahitaji kufunga magoli zaidi. Kama sikosei C Ronaldo amefunga magoli mengi zaid kwenye premiership kuliko mafowadi wote wa Liverpool ukijumlisha magoli yao, nafikiri hii sio nzuri kwa timu yenu MICHUZI.

    Vijana wa Bluu wameonyesha kazi nzuri. Cech amedhihirisha ni Kipa bora dunianai. Drogba ana magoli 29. Wakati United wametangaza ubingwa, lakini tutaendela kuwafukuza na kuovetaki.

    ReplyDelete
  20. Wengi wanashutumu walio ughaibuni! Mbona huyo jamaa pichani analilia timu ya ughaibuni? hata Waingereza wengi hawalii!

    ReplyDelete
  21. Mimi ni mshabiki wa Liverpool, lakini hii ni kawaida ya Man Utd kutikisa nyavu za Liverpool dakika za mwisho tokea enzi hizo. Kila siku Liva ikicheza na Man U, mimi siangalii mpira, nasubiri matokeo kwa sababu ya magoli ya dakika za mwisho

    ReplyDelete
  22. MICHU USIJALI, WE WALK ON WITH PRIDE, AND WE WILL NEVER WALK ALONE!!!! WACHA HIZO TIMU NYINGINE ZOTE ZISOTE KUFIKIA REKODI YETU YA UBINGWA WA LIGI (18 TITLES, MORE THAN ANY OTHER TEAM) TUONE KAMA WANAWEZA.

    ReplyDelete
  23. Michuzi, ulimpata wapi Mr Small! Naye ni mshabiki wa bwawa la maini. nilimcheki sana TV ya Abood Moro. mpe hi ya nguvu.

    ReplyDelete
  24. Nyie wote ngedere na michuzi wenu kazi kushabikia timu za nje ya nchi na kuvaa T-shirt zenye majina ya timu zao.Mbona hamvai t-shirt za mtibwa sugar,yanga,au simba barabarani.Mmejaa ukoloni kichwani maruhuni nyie.Sifia chako hata kama kimejaa mavi.

    Wenzetu hata kama wamefungwa wameondoka na mamilioni ya paundi.Nyinyi mnalia uchungu wakati jioni ha

    ReplyDelete
  25. Ukiwa na Man U kila siku utakuwa mwenye furaha tu, hakuna haja ya kujikunyata hamia kwenye chama kubwa michu

    ReplyDelete
  26. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  27. Michuzi una undugu na BEANIE SIEGEL??!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...