dogo sande a.k.a makinyonga (15) akicheza na vinyonga jana huko ei taun. sande amekuwa akicheza na vinyonga kwa kuwaweka mdomoni kwa takriban sekunde kumi kisha kuwatoa. pia amekuwa akiielimisha jamii kuhusu imani potofu juu ya vinyonga. na kwamba hata kama akikaa kichwani unaweza kumtoa wewe mwenyewe na kwamba si viumbe vya kutisha kama inavyoelezwa na wengi wenye imani za kishirikina…

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. duh, dogo balaa. Sasa si aanzishe mazinga umbwe, nakumbuka enzi za majani ya mkaratusi kugezwa biskuti na akina Power mabula kuzuia magari kwa mkono mmoja. MIM Hongera kwa kutuletea picha za dogo

    ReplyDelete
  2. mmh! usituxingue we dogo, huo ni uchawi tu!

    ReplyDelete
  3. Dogo mwanga. Du, mtoto mdogo unakuwa mwanga je ukizeeka itakuwaje?

    ReplyDelete
  4. anon Friday, March 02, 2007 12:36:00, huyu dogo sio mwanga jamani, amezoea kuwa karibu na wadudu kinyonga ni mdudu kama wengine tu tena mpole sana unaweza kumfanya pet wako, cha kushangaza hapo kipi? na wanaocheza na nyoka utawadefine vipi maana nyoka ni hatari zaidi ya kinyonga.

    ReplyDelete
  5. Huu ni ukatili dhidi ya wanyama! Anatakiwa awarudishe hao vinyonga ktk makazi yao......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...